Moto mkubwa watokea katika Kiwanda cha Mafuta cha Irani huko Khuzestan

Tayari Israel inaitandika Iran inalipua maeneo nyeti

---
At least one person was killed in a fire at the small Pars Petro Shushtar refinery in Iran’s Khuzestan province. According to Al Arabiya, a local authority attributed the cause of the incident “to a tanker collision with gasoline tanks” and said the incident is under investigation. Iranian state media, citing the governor of Shushtar town, said “the fire is under control, but firefighters and rescue workers remain on alert at the scene.”

CNN

Mbona hiyo ni ajali ya kawaida sana tu
 
Haya ndo tulikuwa tunayasema humu kila siku. kwa sasa iran likitokea tukio lolote litaunganishwa na revenge yani hata ayatollah akijikwaa waisrael wa buza watasema Mossad hao,, sasa huo moto lkn kama kingekuwa kimbunga kama kule USA wangesema mungu wa Israel na yakobo anafanya kazi yake,, ukweli ni kwamba Israel kadundwa dunia yote imeona na kama yeye mbabe alipe kama alivyofanya iran na sio moto kutokea bahati mbaya muunge doti.
 
Israel warushe missiles tuone.
 
Mti ni mmoja, lazima uingize kwa mtu mmoja , ukitolewa kwa mwenzako ndo uje. Uingiziwe nawewe.

Usiwe na haraka kuutaka huo mti.

Subilia mwenzdko aingiziwe akimaliza nawewe utafuatia. Mmoja mmoja ndo mpango
 
Watu wanamtegemea Israel ilipe kisasi kwa kurusha makombora kama walivyofanya Iran hapana kama mmemsikiliza vizur Wazir wa ulinzi Mh Yoav Gallant alisema kwamba" Israel italipa kisasi ila Iran hawatoamini na hawatajua imetokeaje" kwahiyo hata sisi hatutajua imetokeaje ila matokeo tu.
 
Ushasema kituo cha mafuta...na Israel kuhusika wapi na wapi?
 
Wavaa kobazi hoi tumiwaambia Israel inatosha kwenye medani ya vita haya Sasa mnachezea vichapo tu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tayari Israel inaitandika Iran inalipua maeneo nyeti

---
At least one person was killed in a fire at the small Pars Petro Shushtar refinery in Iran’s Khuzestan province. According to Al Arabiya, a local authority attributed the cause of the incident “to a tanker collision with gasoline tanks” and said the incident is under investigation. Iranian state media, citing the governor of Shushtar town, said “the fire is under control, but firefighters and rescue workers remain on alert at the scene.”

CNN

Hapana israel hajapiga hapo bado, hicho sio kipigo cha israel itakuwa hitilafu ya kiwandani. Israel ikipiga inamaliza kabisa
 
Yeah mkuu sisi tunataka warushe missiles au ndege zake zile apeleke. sio ayatollah aumwe maralia alafu wajifanye wao Mossad intelejensia yao ndo ilompa maralia sie hiyo hatutaki.
Wewe na nani hamutaki
Kichaaa waheed
 
Shughuli ndio kwanza imeanza. Muda si mrefu tutaanza kusikia pray for ayatollah na magaidi wenzake
 
Hamna kitu hapo, kilichokuwa kinasubiriwa ni hata Khamenei ajikwae usikie 'mossad hao'.

Israel irushe mvua za makombora kwenda Iran kama Iran ilivyofanya.

Israel haina uwezo bado kukabiliana kivita na taifa kama Iran.
Unadhani kurusha makombora ndio njia sahihi ya kulipa kisasi? Kisasi kinalipwa kwanjia yoyote ile, sasa Iran kurusha yale magimbi yameleta matokeo gani chanya
 
Fuatilia kambi zilizopigwa na hasara iliyotokea, au we unadhani hadi wapige makazi ya watu kuua raia 2000 ndipo matokeo chanya?

Kitendo tu cha kurusha missile wazi wazi kuingia anga la nchi ya mwenzako ni kutangaza vita wazi wazi, sasa Iran katuma missiles almost 200.

Israel si bingwa wa vita ajibu hata kwa missile 2 tu.

Hivyo vi mission vya kujificha na kuvizia ni upuuzi, Iran kufanya vile imetangaza vita wazi wazi na Israel.

Israel anaanza kukimbia kuongea na US 😂🙉

Ye ajibu aone moto wake.
 
Hiyo hasara iko wapii hebu tuonyeshe, au unadhani makombora yote yame-hit target? Mengi yamedunguliwaa
 
Back
Top Bottom