Moto mwingine umewaka hii leo Julai 18, 2020 na kuteketeza Darasa Moja la Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic

Moto mwingine umewaka hii leo Julai 18, 2020 na kuteketeza Darasa Moja la Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic

Hii mioto ya mfululizo kwenye Mashule inatia hofu kuwa huenda kuna Mkono Wa Mtu..
 
Kwahiyo mnachoma ili Ponda atolewe aliko? Akishatolewa ndio hizo bweni zitajijenga upya tena kwa maghorofa, na waislamu elimu yao itapanda na watafaulu kwa wingi sana mwaka huu?
We sijui unaongea upumbavu gani, Mi nilichosema shule 3, zote za Kiislam kuungua ndani ya muda mfupi kunaleta maswali, wewe unaniambia maswala ya Ponda?
 
sasa mkuu ponda ni muisilam mali zinazo teketea n I za waislam hii inawezaje kumsaidia yeye atolewe huko aliko na kuwa free?
Sheikh Ponda hahusiki na hiyo myoto!!
Aachiwe huru.
Moto unaweza kulipuka popote
 
Nilitonywa mapema sana hii khs moto
Sema pongezi kwa watu wa Mtambani waliwahi kuuzima

Ova
View attachment 1510069
Huyo kwenye picha ndiye kahusika?
====
Mkuu toa maelezo ya kutosha juu ya kile unachopost, vinginevyo unaweza kuweka watu matatizoni ama wewe mwenyewe ukawekwa matatani. Nadhani unajua fika ninachomaanisha.
 
Sidhani kama kuna uhusiano.
Ila kama kweli kuna uhusianao basi wachomaji watakuwa wehu fulani hivi....maana ingekuwa na mashiko kama wangechoma shule za serikali.

Iweje waonyeshe hisia kwa kuharibu mali zao wenyewe!
Naamini wehu ni wanaomshikilia Sheikh Ponda.

Kupendekeza Uhuru wa tume linakua kosa?
 
Waislam linapokuja suala la dini akili zao humkabidhi mtume mwamedi, naamini hizi shule zinachomwa makusudi na radicalized Muslims ili kutengeneza picha la uongo kuwa waislam tz ni daraja la tatu hlf Christian ni first class na wanapendelewa na serikali sana wkt uhalisia ni namba tunasomeshwa watz wote bila kujali dini za mtu!
 
Sheikh aachiwe huru.
Kama moto unalipuka wenyewe kwenye matofali itakuaje kwenye vilipuzi kama vya gongolamboto, lugalo, mbagala n.k?
Sheikh anaendelea kufunga na kusoma vosomo akimshirikisha IMAM GHAZAL
Msipende kuwahususisha ma Imam wenye hadhi zao na upuuzi kama huu hata siku moja, labda kama katika ibada yake huyo Shekh wenu alinuia hivyo, pia nitakuwa wa mwisho kuamini ati alinuia shule za waislam ziungue si kweli namjua Shekh ana uchungu Sana na Mali za waislam, acha kukurupuka mnaingiaga matatani hivi hivi
 
Waislam linapokuja suala la dini akili zao humkabidhi mtume mwamedi, naamini hizi shule zinachomwa makusudi na radicalized Muslims ili kutengeneza picha la uongo kuwa waislam tz ni daraja la tatu hlf Christian ni first class na wanapendelewa na serikali sana wkt uhalisia ni namba tunasomeshwa watz wote bila kujali dini za mtu!
Mwamedi ndio nani? Huyu atakuwa wa kwenye kitabu cha Imani yako.
 
Angalau kwenye matukio haya ya kuungua kwa taasisi hiz za kiislam vinasubiriwa vyombo rasmi vya uchunguzi vifanye kazi yao na vitoe maelezo ya kitaalamu

Ingekua zilizoungua ni taasisi za imani nyingine tayari ingeshasemwa kwamba ni hujuma zinazotokana na chuki walizokua nazo watu wa imani nyingine juu yao
 
Hapa nadhani kuna mkono wa magaidi wawachunguze wale msimamo mkali.
 
Msipende kuwahususisha ma Imam wenye hadhi zao na upuuzi kama huu hata siku moja, labda kama katika ibada yake huyo Shekh wenu alinuia hivyo, pia nitakuwa wa mwisho kuamini ati alinuia shule za waislam ziungue si kweli namjua Shekh ana uchungu Sana na Mali za waislam, acha kukurupuka mnaingiaga matatani hivi hivi
Najua kua mnamiliki uungu wa mwenyezi hapa duniani. Najua pia hayo matata umemaanisha kuteka, kutesa hata kuua.

Najua pia kua MTAISHI MILELE.
 
Back
Top Bottom