Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Ni dhahiri saboteurs are at work!Moto mwingine umewaka hii leo Julai 18, 2020 na kuteketeza Darasa Moja la Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic, katika eneo la Msikiti wa Mtambani Kinondoni Dar es Salaam. Hii inatokea muda mchache baada ya Shule ya Kinondoni Muslim kuwaka moto jana Julai, 2020.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amefika kwenye Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic iliyopo Msikiti wa Mtambani Kinondoni Dar es Salaam, ambayo darasa moja limeungua hii leo.
View attachment 1510070
View attachment 1510071
Zoezi la MKIRU linataka kurudi.
Haiwezekani mioto hii inafuata sehemu za BAKWATA tu.Hili zoezi wasiachiwe polisi peke yao na inaelekea huu ni mdomo wa jipu lenyewe.