Moto mwingine umewaka hii leo Julai 18, 2020 na kuteketeza Darasa Moja la Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic

Moto mwingine umewaka hii leo Julai 18, 2020 na kuteketeza Darasa Moja la Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic

Moto mwingine umewaka hii leo Julai 18, 2020 na kuteketeza Darasa Moja la Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic, katika eneo la Msikiti wa Mtambani Kinondoni Dar es Salaam. Hii inatokea muda mchache baada ya Shule ya Kinondoni Muslim kuwaka moto jana Julai, 2020.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amefika kwenye Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic iliyopo Msikiti wa Mtambani Kinondoni Dar es Salaam, ambayo darasa moja limeungua hii leo.

View attachment 1510070
View attachment 1510071
Ni dhahiri saboteurs are at work!
Zoezi la MKIRU linataka kurudi.
Haiwezekani mioto hii inafuata sehemu za BAKWATA tu.Hili zoezi wasiachiwe polisi peke yao na inaelekea huu ni mdomo wa jipu lenyewe.
 
Huyo kwenye picha ndiye kahusika?
====
Mkuu toa maelezo ya kutosha juu ya kile unachopost, vinginevyo unaweza kuweka watu matatizoni ama wewe mwenyewe ukawekwa matatani. Nadhani unajua fika ninachomaanisha.
Mpitia njia tu amechukua picha kwenye eneo

Ova
 
Shule niliyosoma zamani ilikuwa na msikiti pale msikitini wanafunzi wananyanyua vyuma na kujifunza karate...wote waliokaa msikitini they scored division zero (0)
Umenikumbusha msikiti upo pale nyuma ya Tegeta Kibaoni ulikuwa ni uwanja wamazoezi ukiwa na nondo na vyuma yenye ncha kali. Ulikuwa tishio na wanaosali pale walikuwa wale waislam wa Siasa kali walikuwa ni wachache tu. Kipindi cha vita ya Islam Mwrmbechai miaka ile nasikia nondo na vyuma vingi vilitoka msikiti ule (kulingana na simulizi za majirani wa msikiti miaka ya 2003 na 2004). Sijui kama bado msikiti huu upo maana tokamuda tajwa sikuwahi kukanyaga maeneo hayo tena.

Ila nikajiuliza mpaka msikiti uwe ni uwanja wa mafunzo yenye utata yanayofanyika usiku huku kukiwa na silaha hatarishi Usalama wa nchi unakuwa wapi? Fumbo kubwa.
 
Moto mwingine umewaka hii leo Julai 18, 2020 na kuteketeza Darasa Moja la Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic, katika eneo la Msikiti wa Mtambani Kinondoni Dar es Salaam. Hii inatokea muda mchache baada ya Shule ya Kinondoni Muslim kuwaka moto jana Julai, 2020.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amefika kwenye Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic iliyopo Msikiti wa Mtambani Kinondoni Dar es Salaam, ambayo darasa moja limeungua hii leo.

MBonaa moto unawaka SHULE.za kiislam tu kunanini hukoo kha
 
Najua kua mnamiliki uungu wa mwenyezi hapa duniani. Najua pia hayo matata umemaanisha kuteka, kutesa hata kuua.

Najua pia kua MTAISHI MILELE.
Kama ni Islam piga Astaghafirullah jitathmini na ulichokiandika ila kama ni imani nyingine nimekusamehe hujui ulichoandika.
 
Kama ni Islam piga Astaghafirullah jitathmini na ulichokiandika ila kama ni imani nyingine nimekusamehe hujui ulichoandika.
Inasomeka kua hujaelewa nilichoandika sipendi ulivyojiita "kichwa cha panzi"
 
Back
Top Bottom