Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Karma ama moto kutoka mbinguni usiozuilika unaishangaza Marekani yote na ulimwengu mzima!
Wanasema ni moto wa nyika lakini hapana California inachomwa na Mungu ! Jitihada zote zimegonga mwamba ujuzi na uweledi wote umefika mwisho sasa moto umesambaa Kila mahali!
Magorofa makubwa na mall pamoja na masoko makubwa imebaki majivu, California yote imeteketea tujifunze kuheshimu Mungu na kuamini kwamba Mungu asipoulinda mji waulindao wanakesha bure!
Ingekuwa Tanzania Wandishi wetu uchwara na viongozi wa kisiasa pamoja na wanahatakati wangekuwa wana bwabwaja ni uzembe wa Serikali au Rais ameshindwa kazi lakini wenzetu wametufundisha ukomavu kwamba sio Kila janga linalotokea ni uzembe wa Serikali.