Moto unaoiteketeza California ingekuwa Tanzania lawama angeangushiwa Rais na Serikali yake. Tujifunze kuiamiani serikali, haiwezi kuzuia kila janga

Moto unaoiteketeza California ingekuwa Tanzania lawama angeangushiwa Rais na Serikali yake. Tujifunze kuiamiani serikali, haiwezi kuzuia kila janga

Karma ama moto kutoka mbinguni usiozuilika unaishangaza marekani yote na ulimwengu mzima ! Wanasema ni moto wa nyika ,lakini hapana California inachomwa na mungu ! Jitihada zote zimegonga mwamba ujuzi na uweledi wote umefika mwisho sasa moto umesambaa Kila mahali ! Magorofa makubwa na mall pamoja na masoko makubwa imebaki majivu ,California yote imeteketea tujifunze kuheshimu mungu na kuamini kwamba mungu asipoulinda mji waulindao wanakesha Bure! Ingekuwa Tanzania wandishi wetu uchwara na viongozi wa kisiasa pamoja na wanahatakati wangekuwa Wana bwabwaja ni uzembe wa serikali au rais ameshindwa kazi lakini wenzetu wametufundisha ukomavu kwamba sio Kila janga linalotokea ni uzembe wa serikali
We hujui kitu, mbona governor wa California Gavin Newsom kalaumiwa sana hadi kaambiwa ajiuzulu.

Alafu wildfires ni common huko california kama ilivyo Australia sasa ukisema Mungu anapachoma tukueleweje?
 
Newsom Wants to Know Why Fire Hydrants Went Dry

Gov. Gavin Newsom of California ordered an inquiry into a loss of water pressure after it was revealed that a reservoir was offline when the fires started.

View: https://m.youtube.com/watch?v=7QI-WvfKaFM
By Rachel Nostrant
Jan. 10, 2025
Gov. Gavin Newsom of California ordered an inquiry into the county’s water management after reports emerged that a critical reservoir was offline when the fires started and that firefighters were left with sputtering — and then dry — hydrants as they battled blazes ripping through Los Angeles.

At least 11 people have died and more than 13,000 structures have been destroyed in the fires, according to preliminary numbers from state and local officials.

While there is no way to know yet for sure, Mr. Newsom said that the lack of water “likely impaired” efforts to protect homes and evacuation routes.

“We need answers to how that happened,” he said in a letter dated Jan. 10 to the heads of the Los Angeles Department of Water and Power and Los Angeles County Public Works.

A spokeswoman for the Department of Water and Power confirmed on Friday that the Santa Ynez Reservoir, which helps supply water in Pacific Palisades, was offline for scheduled maintenance when the Palisades fire ignited on Tuesday.

The reservoir can hold millions of gallons of water that, if available, could have helped in those first crucial hours fighting the fire.

The Palisades fire has burned more than 5,000 structures, according to Cal Fire, and was at 8 percent contained as of Friday afternoon.

In his request, Mr. Newsom asked the Los Angeles Department of Water and Power to review its procedures and share its findings with state water and firefighting officials, who will conduct the investigation.

Requests for comment from the Department of Water and Power and Los Angeles County Public Works were not returned.

Water for Pacific Palisades is fed by a pipeline that flows by gravity from the larger Stone Canyon Reservoir, said Marty Adams, a former general manager and chief engineer at the Los Angeles Department of Water and Power. That water line also fills the Santa Ynez Reservoir.

Water is pumped into three high-elevation storage tanks, each with a capacity of about one million gallons. Water then flows by gravity into homes and fire hydrants.

Officials said the storage tanks and the pumping systems that feed them could not keep pace with the demand as the fire raced from one neighborhood to another.

Fire hydrants are not designed to supply enough water to fight large or simultaneous wildfires, Mr. Newsom said, but their quick depletion still likely impeded firefighting efforts.

An operational reservoir would have been at least initially helpful to more fully feed the water system in the area, Mr. Adams said....

READ MORE: The New York Times
 
Kule unaona juhudi zao!

Huku utasikia zimamoto hawana mafuta mara dawasco wamekata maji n.k!

Halafu mawaziri wanaenda eneo la tukio wanakaa kwenye office chair unajiuliza wamefata nini pale!!?

Bongo Bado Sana kwenye maafa unamkuta wazirimkuu kapaka piko na suit kavaa kwenye ajali badala ya ova roli na kofia!!
 
Huku mawaziri unakuta wameweka viti wamekaa kwenye camera ili waonwe na Rais
 
Ingekuwa bongo ndio ingekuwa mwisho wa nchi. Ingefutika
 
Califonia imekuwa kama Gaza bila Vita wala mabomu ! 😳😱

Tumuogope Mungu 🙏🙏🙏
Sana hii Leo ingekuwa inaungua IRAN mitandaoni tungewakoma Walokole saiz ungesikia Taifa teule mungu wa jakobo JEHOVA ukushindana na Israel mungu atakuadhibu!!!! lkn Leo utawasikia haaa majanga tu ya asili sio mungu!!!!!!!!!!!
 
M

Mungu ana majeshi yenye Nguvu za ajabu !
Inabidi tumuogope sana tena sana !
Wapo jamaa humu huwa hawaamini habari za Mungu na wengine Wanasemaga Mungu hahusikimasuala ya kisiasa ndio maana wanaweza kudhalilisha Wazee na hata kuwaRestisha !
Kipato huleta kiburi !
 
Karma ama moto kutoka mbinguni usiozuilika unaishangaza marekani yote na ulimwengu mzima ! Wanasema ni moto wa nyika ,lakini hapana California inachomwa na mungu ! Jitihada zote zimegonga mwamba ujuzi na uweledi wote umefika mwisho sasa moto umesambaa Kila mahali ! Magorofa makubwa na mall pamoja na masoko makubwa imebaki majivu ,California yote imeteketea tujifunze kuheshimu mungu na kuamini kwamba mungu asipoulinda mji waulindao wanakesha Bure! Ingekuwa Tanzania wandishi wetu uchwara na viongozi wa kisiasa pamoja na wanahatakati wangekuwa Wana bwabwaja ni uzembe wa serikali au rais ameshindwa kazi lakini wenzetu wametufundisha ukomavu kwamba sio Kila janga linalotokea ni uzembe wa serikali
California wamepambana na mwishowe wamezidiwa, Tanzania huwa hawazidiwi bali huwa hawafanyi kitu.
 
M

Mungu ana majeshi yenye Nguvu za ajabu !
Inabidi tumuogope sana tena sana !apo jamaa humu huwa hawaamini habari za Mungu na wengine Wanasemaga Mungu hahusikimasuala ya kisiasa ndio maana wanaweza kudhalilisha Wazee na hata kuwaRestisha !
Kipato huleta kiburi !
Nikweli kabisa
 
Sana hii Leo ingekuwa inaungua IRAN mitandaoni tungewakoma Walokole saiz ungesikia Taifa teule mungu wa jakobo JEHOVA ukushindana na Israel mungu atakuadhibu!!!! lkn Leo utawasikia haaa majanga tu ya asili sio mungu!!!!!!!!!!!
Kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom