Acha kukurupuka, hii, nchi imejaa wajinga Sana, unalinganisha USA na huu uchafu TZ!
Kuna asilimia 99.9,majanga yanayotokea TZ, ni, uzembe wa serikali, Anza, na kuporomoka kwa jengo kariakoo, hiz coaster zinazochinja kila siku,
Hata hili taking la USA, kuna uzembe, "wenyeji wwnasema, kulikuwa na tasrifa kuwa kutakuwa na tukio kama hili, HYDRANT hazikuwa na presha kubwa ya, maji! Huo ni uzembe, ukifika pale airport ya mwanza,zinapopaki gari za zimamoto, nikakuta wale maofisa wa faya,wamekaa kihasara hasara,matumbo wazi, wapo wanapika kwa kuni,! Nikajiuliza, hawa ndio wapo standby moto ukitokea!
Fika pale idara ya faya, Dodoma, makole, pembeni na jengo la pspf, unswakuta wamekaa nje, kwenye benchi, wanaota moto kama mijusi, wanapiga umbeya tu, wapo wapo tu kama vibaka, wakati ilibidi kuwe na ofisi, canteen ya kisasa, computer za kutosha, watu wanasoma, kuongeza elimu