Moto unaoiteketeza California ingekuwa Tanzania lawama angeangushiwa Rais na Serikali yake. Tujifunze kuiamiani serikali, haiwezi kuzuia kila janga

Yaani ndo Dar iteketee namna hiyo aisee vifo havitahesabika.

Ila mleta uzi umeandika uharo, jitafakari kabla hatujaamuru ndgu zako wakupeleke mirembe.
 
Karma ama moto kutoka mbinguni usiozuilika unaishangaza marekani yote na ulimwengu mzima ! Wanasema ni moto wa nyika ,lakini hapana California inachomwa na mungu ! Jitihada zote zimegonga mwamba ujuzi na uweledi wote umefika mwisho sasa moto umesambaa Kila mahali ! Magorofa makubwa na mall pamoja na masoko makubwa imebaki majivu ,California yote imeteketea tujifunze kuheshimu mungu na kuamini kwamba mungu asipoulinda mji waulindao wanakesha Bure! Ingekuwa Tanzania wandishi wetu uchwara na viongozi wa kisiasa pamoja na wanahatakati wangekuwa Wana bwabwaja ni uzembe wa serikali au rais ameshindwa kazi lakini wenzetu wametufundisha ukomavu kwamba sio Kila janga linalotokea ni uzembe wa serikali
Hao ndio wapinzani wakubwa wa mabadiliko ya tabia ya nchi....wanavuna walichopanda
 
Karma ama moto kutoka mbinguni usiozuilika unaishangaza marekani yote na ulimwengu mzima ! Wanasema ni moto wa nyika ,lakini hapana California inachomwa na mungu ! Jitihada zote zimegonga mwamba ujuzi na uweledi wote umefika mwisho sasa moto umesambaa Kila mahali ! Magorofa makubwa na mall pamoja na masoko makubwa imebaki majivu ,California yote imeteketea tujifunze kuheshimu mungu na kuamini kwamba mungu asipoulinda mji waulindao wanakesha Bure! Ingekuwa Tanzania wandishi wetu uchwara na viongozi wa kisiasa pamoja na wanahatakati wangekuwa Wana bwabwaja ni uzembe wa serikali au rais ameshindwa kazi lakini wenzetu wametufundisha ukomavu kwamba sio Kila janga linalotokea ni uzembe wa serikali
Wachimba chumvi bwana..
 
Marekani ni Nchi ya Kifederali kwa hiyo lawama kwanza anashishiwa Gavana na Gavana nae anailaumu Ikulu.

Sisi hapa ungetokea huo moto Ilala yote ingeteketea hebu Imagine nyumba 10,000?
 
Karma ama moto kutoka mbinguni usiozuilika unaishangaza marekani yote na ulimwengu mzima ! Wanasema ni moto wa nyika ,lakini hapana California inachomwa na mungu ! Jitihada zote zimegonga mwamba ujuzi na uweledi wote umefika mwisho sasa moto umesambaa Kila mahali ! Magorofa makubwa na mall pamoja na masoko makubwa imebaki majivu ,California yote imeteketea tujifunze kuheshimu mungu na kuamini kwamba mungu asipoulinda mji waulindao wanakesha Bure! Ingekuwa Tanzania wandishi wetu uchwara na viongozi wa kisiasa pamoja na wanahatakati wangekuwa Wana bwabwaja ni uzembe wa serikali au rais ameshindwa kazi lakini wenzetu wametufundisha ukomavu kwamba sio Kila janga linalotokea ni uzembe wa serikali
Hiyo radio mbao yako na hicho kioo chako hakijawahi kutangaza lawama zinazomwangukia gavana wa county ya California?
 
sio Kila janga linalotokea ni uzembe wa serikali

Hydrants issue impaired LA wildfires fight, governor says, as evacuation area grows​

California's governor has called for an independent investigation into how critical fire hydrants ran out of water and "impaired" the fight against the Los Angeles area wildfires.

Uzembe upo kila mahali!
 
LINI WATU WAKAPONDEA RAIS KWA SABABU YA AJALI AU TUKIO LA AJALI?

WATU HUPONDEA RAIS NA WATU WA CHINI YAKE KUTOKANA NA JUHUDI ZINAZOTUMIKA KUKABILIANA NA TUKIO LA AJALI.

NIKUPE MFANO,LILE TUKIO LA KARIAKOO,KWANZA ILE AJALI ILITOKEA KWA UZEMBE NA RUSHWA MIONGONI MWA IDARA ZA SERIKALI,PILI ILITOKEA,UOKOAJI HAUKUWA MAKINI KUWEKEZA RASILIMALI ZOTE ILI WATU WATOKE HAI.

FIKIRIA JENGO DOGO LILE,WATU WAKO CHINI SIKU 2 HAI,HATA HEWA HAWAPEWI,HUO NI UZEMBE.

KUNA WATU HAWAKUSTAHILI KUFA KWENYE ILE AJALI,ILA UZEMBE UMESABABISHA VIFO VYAO.
uwe unatumia herufi ndogo
 
Viongozi wa marekani wangekuwa wajinga kama walivyo viongozi wa afrika hasa awamu ya sita Nchi furani kungekuwa na vifo vya halaiki.lakini kwa kuwa viongozi wa marekani ni wazalendo na wawajibikaji hakuna hata kifo kimoja kilichotokea dhidi Hilo janga la moto
Watu 11 wamekufa
 
Karma ama moto kutoka mbinguni usiozuilika unaishangaza marekani yote na ulimwengu mzima ! Wanasema ni moto wa nyika ,lakini hapana California inachomwa na mungu ! Jitihada zote zimegonga mwamba ujuzi na uweledi wote umefika mwisho sasa moto umesambaa Kila mahali ! Magorofa makubwa na mall pamoja na masoko makubwa imebaki majivu ,California yote imeteketea tujifunze kuheshimu mungu na kuamini kwamba mungu asipoulinda mji waulindao wanakesha Bure! Ingekuwa Tanzania wandishi wetu uchwara na viongozi wa kisiasa pamoja na wanahatakati wangekuwa Wana bwabwaja ni uzembe wa serikali au rais ameshindwa kazi lakini wenzetu wametufundisha ukomavu kwamba sio Kila janga linalotokea ni uzembe wa serikali
Mhhh..
 
Back
Top Bottom