Moto unaoiteketeza California ingekuwa Tanzania lawama angeangushiwa Rais na Serikali yake. Tujifunze kuiamiani serikali, haiwezi kuzuia kila janga

Yaani ndo Dar iteketee namna hiyo aisee vifo havitahesabika.

Ila mleta uzi umeandika uharo, jitafakari kabla hatujaamuru ndgu zako wakupeleke mirembe.
 
Hao ndio wapinzani wakubwa wa mabadiliko ya tabia ya nchi....wanavuna walichopanda
 
Wachimba chumvi bwana..
 
Marekani ni Nchi ya Kifederali kwa hiyo lawama kwanza anashishiwa Gavana na Gavana nae anailaumu Ikulu.

Sisi hapa ungetokea huo moto Ilala yote ingeteketea hebu Imagine nyumba 10,000?
 
Hiyo radio mbao yako na hicho kioo chako hakijawahi kutangaza lawama zinazomwangukia gavana wa county ya California?
 
sio Kila janga linalotokea ni uzembe wa serikali

Hydrants issue impaired LA wildfires fight, governor says, as evacuation area grows​


California's governor has called for an independent investigation into how critical fire hydrants ran out of water and "impaired" the fight against the Los Angeles area wildfires.


Uzembe upo kila mahali!
 
uwe unatumia herufi ndogo
 
Watu 11 wamekufa
 
Mhhh..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…