Moto unaoiteketeza California ingekuwa Tanzania lawama angeangushiwa Rais na Serikali yake. Tujifunze kuiamiani serikali, haiwezi kuzuia kila janga

The good thing ni mungu sio Mungu! Shetani ni Baba wa uharibifu
 

Kuna asilimia 99.9,majanga yanayotokea TZ, ni, uzembe wa serikali, Anza, na kuporomoka kwa jengo kariakoo, hiz coaster zinazochinja kila siku,
Hata hili taking la USA, kuna uzembe, "wenyeji wwnasema, kulikuwa na tasrifa kuwa kutakuwa na tukio kama hili, HYDRANT hazikuwa na presha kubwa ya, maji! Huo ni uzembe, ukifika pale airport ya mwanza,zinapopaki gari za zimamoto, nikakuta wale maofisa wa faya,wamekaa kihasara hasara,matumbo wazi, wapo wanapika kwa kuni,! Nikajiuliza, hawa ndio wapo standby moto ukitokea!
Fika pale idara ya faya, Dodoma, makole, pembeni na jengo la pspf, unswakuta wamekaa nje, kwenye benchi, wanaota moto kama mijusi, wanapiga umbeya tu, wapo wapo tu kama vibaka, wakati ilibidi kuwe na ofisi, canteen ya kisasa, computer za kutosha, watu wanasoma, kuongeza elimu
 
KWAMBA HAKUNA KIFO? Unaota
 
Hii ni nchi yetu sote Kila mtu anatakiwa atoe mchango wake wewe umetoa mchango gani mpaka sasa ?
 
Andika Mungu na sio mungu.... Topic yako itakuwa na maana zaidi.
 
Hakuna cha hydrants wala uzembe, hilo ni suala la hali ya hewa na jiografia, California iko prone kwa mioto ya mara kwa mara kutokana na ukam, joto kali na aina ya vilima vyake.
 
Ni kweli mwezi wa kumi na mbili mbeya imetokea ajali ya 5 hivi imesababisha watu wengi kufa baada ya hapo walikuja wakasembua pembeni na akuna kinachoendelea unaona jinsi uongozi auko makini kusimamia na kuokoa maisha ya raia wanajiangalia wao baada ya kuondoa au kupunguza viatalishi vya ajali
 
Califonia imekuwa kama Gaza bila Vita wala mabomu ! 😳😱

Tumuogope Mungu πŸ™πŸ™πŸ™
 
Watesi wote popote walipo Hapa na Duniani kote WAJUE MUNGU YUPO ! πŸ™πŸ’―
 
Mungu sio mungu.. Hizo lawama umejitungia
 
Wale 10 waliokufa je?
 
Ripoti zinasema watu 10 wamefariki Kwa hilo janga, taarifa zako unazitoa wapi?
 
Kama mvua zikija anasifiwa rais, kwanini na matukio ya moyo yakitokea asiusiane nayo?
 
KWAMBA HAKUNA KIFO? Unaota
Vifo vimetokea ambayo
Wale 10 waliokufa je?
Wale kumi presha zao zilipanda kutokana na mali zao nyingi kuungua na umri wao na uzee wao ulichangia .siyo kwamba waliungua.Ingekuwa Tanzania ingekuwa ni maelfu kwa maelfu.mfano kile kighorofa tu cha kariakoo floors nne kilichoangu kilichukua wiki tatu kwenye uokoaji na vifo ni viliikuwa ni vingi tu.
 
Lile janga la moto huko California linasikitisha sana !
Duh πŸ™„ !
Tumuogope sana Mungu ! Kwa wale tunao muamini kuwa Yupo 😳 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…