Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
-
- #121
Maandishi yana Nahau na MethaliNi sawa, lakini kwa namna ulivyoandika ninajenga swali:kusema 'unaambiwa' inamaa nawe umezipata habari hizo kutoka kwa mtu mwingine!
Je wewe mkuu upo kwenye msafara wa kiongozi gani katika hiyo kampeni?
Kwamba kote huko tulikopita ni Mtwara tu?.. WATU wa mkoa wa Mtwara wako hivyo, wa join kila mkusanyiko/Kila VIBE la mtaani, lakini huwa wanaichagua CCM.
Okay, basi mtashinda uchaguzi, the next president shall be Hon T.A.LissuKwamba kote huko tulikopita ni Mtwara tu?
Shetani hajawahi kumshinda MunguOkay, basi mtashinda uchaguzi, the next president shall be Hon T.A.Lissuendeleeni kupambana watu wabadi, against G55, CCM and other political parties
IQ single digit (1_9) sibishani na wewe tena, okay hongereni sana, next president wa URT ni Mh.Tundu A.LWewe kichwani hamupo sawa nimekujibu mbunge wa mtwara vijijini ni mpinzani
..na Mungu ndyo wewe huyo na CDM yako,.okay next president ni Hon.T.A Lisu, are u okay now?, nimekubaliana na wewe, ushindi wa kishindo na majimbo kama yoote kwa CDMShetani hajawahi kumshinda Mungu
..okay ni kajimbo kamoja tu, basi nimekubali mnahaki ya kususia uchaguzi, and this time ni zamu ya CDM kuchukua nchi, GOD belongs to people's power a.ka CHADEMA, kazeni but you will get there@ white house na majimbo kama yoote ni yenuWewe kichwani hamupo sawa nimekujibu mbunge wa mtwara vijijini ni mpinzani
Ni kweli kichwani sinazo, sorry kwa kukukwaza, nyie wenye Anencephaly mko very gifted, tusubiri mkao wa kula na T.A.Lisu state house DODOMA #Pipozi PawaWewe kichwani hamupo sawa nimekujibu mbunge wa mtwara vijijini ni mpinzani
No Reform No Election..na Mungu ndyo wewe huyo na CDM yako,.okay next president ni Hon.T.A Lisu, are u okay now?, nimekubaliana na wewe, ushindi wa kishindo na majimbo kama yoote kwa CDM
Kweli unamsililiza mtu kama Mrema kweli?
..nani ni legit kumsikiliza??Kweli unamsililiza mtu kama Mrema kweli?
Congratulations, next government ni ya CDM, @ Mh Rais, Tundu Antiphas Lissu (TAL), nimewakubali sana, tukae mkao wa kulaNo Reform No Election
We wish u the best, make sure you don't participate in General ElectionNo Reform No Election
But don't worry this time mnatoboaNchi hii ina wajinga wengi sana. Na ndio kikwazo cha mabadiliko.
Kiongozi walau wa mkoa wa CDM..nani ni legit kumsikiliza??
Okay, all the bestKiongozi walau wa mkoa wa CDM
Ni kweli siwezi kuwa sawa mentally, niki sapoti hooligansWewe kichwani hamupo sawa nimekujibu mbunge wa mtwara vijijini ni mpinzani
..tupo nao they are struggling na wana-survive kwa hisani ya CCMKiongozi walau wa mkoa wa CDM
Nani aliwahi kujibiwa Waraka? Paulo mwenyewe aliandika kwa Wagalatia mpaka Leo hajawahi kujibiwa ππππ, waulizeni Wakorintho au Waebrania ππTaarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi.
Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi kutokea katika kipindi kirefu mno kwenye eneo hilo
Kwa kifupi ni kwamba Wananchi wote wameelewa Somo hilo
View attachment 3295952View attachment 3295953View attachment 3295954