Moto wa No reforms No election umeanza kuwaingia walimu watanzania, freedom is coming tomorrow!

Moto wa No reforms No election umeanza kuwaingia walimu watanzania, freedom is coming tomorrow!

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
2,174
Reaction score
3,156
Hakika Mungu ni mwema, baada ya miaka mingi kupita sasa walimu wameanza kuelewa na kutumia elimu yao kwa ajili ya manufaa ya Taifa zima.

Hii imetokea kwa kukataa na kugoma kujishughulisha na maswala ya uchaguzi na kuwa sehumu ya laana katika vizazi vyao vyote.

Tume inayojiita tume huru ya uchaguzi, I'li toa tangazo la watu waombe kusimamia uchaguzi mkuu mwaka huu October 2025. Cha kushangaza na kufurahia ni kuwa walimu 90%wamekataaa kuomba, watanaka NRNE .

Ni kiducho mno walio tuma maombi, na jana ndo I'li kuwa mwisho wa kutuma maombi. Walimu na watumishi wa umma wamekataaaa kata kata , kuwa sehumu ya laana ya kupora uchaguzi, tangu mwaka 1995.

Serikali ina haha , haielewi wafanyaje, walimu wapo tayari kufa au kufukuzwa kazi lakin sio kusimamia uchaguzi haramu, wamechoka na mipango michafu ya ccm.

Ukisoma vizuri historia Duniani kote ,watu walioleta mapinduzi ya kiumfumo na kushika nyanja za juu za kisiasa, ni walimu na wanasheria. Ukifuatilia kwa ukaribu marais 98% marekani ni walimu na wanasheria.

Hivyo walimu wa Tanzania tunawaomba mshikilie hapo hapo.

Serikali ya Tanzania huwa inawaona kama sisimizi , inashau kuwa nyie ndio bridge ya Taifa. , No reforms No election.

Mungu wabariki walimu, Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
 
Wewee..😄😄😄
Hivi Walimu unawajua.

Kimyakimya hiyo. Wametuma TOOPP
 
Kizimkazi na CCm wanavyotafuta majibu kwenye kedeki
IMG_1897.jpeg
 
Wapellekwe wasaini kina Steve kusimamia uhuni huo.
 
We kweli hujielewi,Kundi la walimu walioomba haijulikani Nani atapata.
 
Wengii tu wameichoka CCM sema ndio hvyo ...
 
Back
Top Bottom