Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,985
- 3,493
Kwanza kumbuka kiongozi wetu Lissu anawakataa sana walimu na alitwambia nasi tuwachukie kabisa.. ILA sasa hizi kazi za uchaguzi wamepewa kipaumbele wale wasio kwenye ajira kama ilivyokua kwenye sensa kamanda,Hakika Mungu ni mwema, baada ya miaka mingi kupita sasa walimu wameanza kuelewa na kutumia elimu yao kwa ajili ya manufaa ya Taifa zima.
Hii imetokea kwa kukataa na kugoma kujishughulisha na maswala ya uchaguzi na kuwa sehumu ya laana katika vizazi vyao vyote.
Tume inayojiita tume huru ya uchaguzi, I'li toa tangazo la watu waombe kusimamia uchaguzi mkuu mwaka huu October 2025. Cha kushangaza na kufurahia ni kuwa walimu 90%wamekataaa kuomba, watanaka NRNE .
Ni kiducho mno walio tuma maombi, na jana ndo I'li kuwa mwisho wa kutuma maombi. Walimu na watumishi wa umma wamekataaaa kata kata , kuwa sehumu ya laana ya kupora uchaguzi, tangu mwaka 1995.
Serikali ina haha , haielewi wafanyaje, walimu wapo tayari kufa au kufukuzwa kazi lakin sio kusimamia uchaguzi haramu, wamechoka na mipango michafu ya ccm.
Ukisoma vizuri historia Duniani kote ,watu walioleta mapinduzi ya kiumfumo na kushika nyanja za juu za kisiasa, ni walimu na wanasheria. Ukifuatilia kwa ukaribu marais 98% marekani ni walimu na wanasheria.
Hivyo walimu wa Tanzania tunawaomba mshikilie hapo hapo.
Serikali ya Tanzania huwa inawaona kama sisimizi , inashau kuwa nyie ndio bridge ya Taifa. , No reforms No election.
Mungu wabariki walimu, Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
PEOPLE'S POWER