Hapa labda utueleze umetumia methods zipi kuyajua yote haya. Yaani umekagua barua za maombi zilizotumwa mikoa yota Tanzania au umetumia sample ya shuleni kwako tu ukaja na conclusionHakika Mungu ni mwema, baada ya miaka mingi kupita sasa walimu wameanza kuelewa na kutumia elimu yao kwa ajili ya manufaa ya Taifa zima.
Hii imetokea kwa kukataa na kugoma kujishughulisha na maswala ya uchaguzi na kuwa sehumu ya laana katika vizazi vyao vyote.
Tume inayojiita tume huru ya uchaguzi, I'li toa tangazo la watu waombe kusimamia uchaguzi mkuu mwaka huu October 2025. Cha kushangaza na kufurahia ni kuwa walimu 90%wamekataaa kuomba, watanaka NRNE .
Ni kiducho mno walio tuma maombi, na jana ndo I'li kuwa mwisho wa kutuma maombi. Walimu na watumishi wa umma wamekataaaa kata kata , kuwa sehumu ya laana ya kupora uchaguzi, tangu mwaka 1995.
Serikali ina haha , haielewi wafanyaje, walimu wapo tayari kufa au kufukuzwa kazi lakin sio kusimamia uchaguzi haramu, wamechoka na mipango michafu ya ccm.
Ukisoma vizuri historia Duniani kote ,watu walioleta mapinduzi ya kiumfumo na kushika nyanja za juu za kisiasa, ni walimu na wanasheria. Ukifuatilia kwa ukaribu marais 98% marekani ni walimu na wanasheria.
Hivyo walimu wa Tanzania tunawaomba mshikilie hapo hapo.
Serikali ya Tanzania huwa inawaona kama sisimizi , inashau kuwa nyie ndio bridge ya Taifa. , No reforms No election.
Mungu wabariki walimu, Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Kuwaingia wakiwa kwenye social media? reform labda CCM ipende yenyewe, ila sio kwanguvu za keybord worriorHakika Mungu ni mwema, baada ya miaka mingi kupita sasa walimu wameanza kuelewa na kutumia elimu yao kwa ajili ya manufaa ya Taifa zima.
Hii imetokea kwa kukataa na kugoma kujishughulisha na maswala ya uchaguzi na kuwa sehumu ya laana katika vizazi vyao vyote.
Tume inayojiita tume huru ya uchaguzi, I'li toa tangazo la watu waombe kusimamia uchaguzi mkuu mwaka huu October 2025. Cha kushangaza na kufurahia ni kuwa walimu 90%wamekataaa kuomba, watanaka NRNE .
Ni kiducho mno walio tuma maombi, na jana ndo I'li kuwa mwisho wa kutuma maombi. Walimu na watumishi wa umma wamekataaaa kata kata , kuwa sehumu ya laana ya kupora uchaguzi, tangu mwaka 1995.
Serikali ina haha , haielewi wafanyaje, walimu wapo tayari kufa au kufukuzwa kazi lakin sio kusimamia uchaguzi haramu, wamechoka na mipango michafu ya ccm.
Ukisoma vizuri historia Duniani kote ,watu walioleta mapinduzi ya kiumfumo na kushika nyanja za juu za kisiasa, ni walimu na wanasheria. Ukifuatilia kwa ukaribu marais 98% marekani ni walimu na wanasheria.
Hivyo walimu wa Tanzania tunawaomba mshikilie hapo hapo.
Serikali ya Tanzania huwa inawaona kama sisimizi , inashau kuwa nyie ndio bridge ya Taifa. , No reforms No election.
Mungu wabariki walimu, Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Wapi huko wameomba wengi. Tuletee ushahidi hapa.Walimu ni njaa Kali Sana hakuna kitu kinawapita wameomba wengi Sana naushahid
Kabisa mkuu, serikali inawaona walimu wakinga, mwaka huu ni mwendo wa NRNEHatuombi sababu maelekezo ya wizi 2024 yalikua wazi wazi yaani unalazimishwa kuongeza😂😂! Na mikwala juu na usipoongeza basi mtendaji ataongeza mwenyewe,,, mbili posho zenyewe tulizulumiwa ndo maana tangazo lao jipya limeainisha kabisa hizo posho tofauti na 2024!....
Nimekosa sana nimekosa Mimi!...
Usiisemee nafsi ya mwalimu nchini.Hakika Mungu ni mwema, baada ya miaka mingi kupita sasa walimu wameanza kuelewa na kutumia elimu yao kwa ajili ya manufaa ya Taifa zima.
Hii imetokea kwa kukataa na kugoma kujishughulisha na maswala ya uchaguzi na kuwa sehumu ya laana katika vizazi vyao vyote.
Tume inayojiita tume huru ya uchaguzi, I'li toa tangazo la watu waombe kusimamia uchaguzi mkuu mwaka huu October 2025. Cha kushangaza na kufurahia ni kuwa walimu 90%wamekataaa kuomba, watanaka NRNE .
Ni kiducho mno walio tuma maombi, na jana ndo I'li kuwa mwisho wa kutuma maombi. Walimu na watumishi wa umma wamekataaaa kata kata , kuwa sehumu ya laana ya kupora uchaguzi, tangu mwaka 1995.
Serikali ina haha , haielewi wafanyaje, walimu wapo tayari kufa au kufukuzwa kazi lakin sio kusimamia uchaguzi haramu, wamechoka na mipango michafu ya ccm.
Ukisoma vizuri historia Duniani kote ,watu walioleta mapinduzi ya kiumfumo na kushika nyanja za juu za kisiasa, ni walimu na wanasheria. Ukifuatilia kwa ukaribu marais 98% marekani ni walimu na wanasheria.
Hivyo walimu wa Tanzania tunawaomba mshikilie hapo hapo.
Serikali ya Tanzania huwa inawaona kama sisimizi , inashau kuwa nyie ndio bridge ya Taifa. , No reforms No election.
Mungu wabariki walimu, Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Kabisa mkuu, kushiriki kutenda maovu unapata laana kizazi chote, ni kukaa mbali na mambo hayaBinafsi baada ya uchaguzi 2020 niliamua bila shinikizo kutoshiriki tena kusimamia uchaguzi wala kupiga kura,,, kimsingi ukiwa mpenda haki ,mwenye uwezo wa kusimamia unachokiamini,,usiyeendekeza unafiki na kujipendekeza, mkweli na mwenye hofu ya Mungu huwezi kushiriki chaguzi zetu bila hata kushawishiwa na mtu
Nimetumia kata tatu , ktk mkoa x, hakuna walimu waliomba, labda kama serikali itawakond,Hapa labda utueleze umetumia methods zipi kuyajua yote haya. Yaani umekagua barua za maombi zilizotumwa mikoa yota Tanzania au umetumia sample ya shuleni kwako tu ukaja na conclusion
Labda kama unazungumzia kizazi cha walimu ambacho hakijazaliwa, ila kama ni hiki kilichopo rudi tena kafanye utafiti wako upya
Tukiwa hai takukumbusha miaka mitano ijayo ulete tena kauli kama hizi (au kwa kupunguza kazi unaweza tu ukawa unafanya recycle ya huu UZI every five years...Huu mwaka mapya yanakuja
Itakuwa walimu wa marekani ndo wamegoma kujihusisha na siasa! Kwa Tanzania haiji tokea iyo kituHakika Mungu ni mwema, baada ya miaka mingi kupita sasa walimu wameanza kuelewa na kutumia elimu yao kwa ajili ya manufaa ya Taifa zima.