Moto wa No reforms No election umeanza kuwaingia walimu watanzania, freedom is coming tomorrow!

Kwanza kumbuka kiongozi wetu Lissu anawakataa sana walimu na alitwambia nasi tuwachukie kabisa.. ILA sasa hizi kazi za uchaguzi wamepewa kipaumbele wale wasio kwenye ajira kama ilivyokua kwenye sensa kamanda,
PEOPLE'S POWER
 
Walimu ni njaa Kali Sana hakuna kitu kinawapita wameomba wengi Sana naushahid
 
hii nikweli kabisa. walimu walioomba ni wachache wengi wamegoma kabisaa
 
Kwanza kumbuka kiongozi wetu Lissu anawakataa sana walimu na alitwambia nasi tuwachukie kabisa.. ILA sasa hizi kazi za uchaguzi wamepewa kipaumbele wale wasio kwenye ajira kama ilivyokua kwenye sensa kamanda,
PEOPLE'S POWER
Ngoja tusubili mkuu
 
Wakati wa uchaguzi kwa siku huwa wanalipwa bei gani???

Ova
 
Wapi huko wamekataa?kuna mahali nipo waalimu ndio wameomba kwa wingi,kuna mwalimu kaomba na kumwombea na mwanae,kuna afisa mifugo naye kaomba na kumwombea na mwanae.
 
Hapana. Walimu wachache sana walioomba. Hasa vyawa.
 
We are being watched. The gvt has a secret system,a machine to spy on you in every hour of every day. I designed the machine to detect acts of terror but it ceased everthing, violence and crimes that involve ordinary people, the gvt consider these people irrelevant, we dont. Hunted by authorities, we work in secret, you will never find us, but victims or perpetuator, if your number is up, we will find you.
 
Hii imetokea kwa kukataa na kugoma kujishughulisha na maswala ya uchaguzi na kuwa sehumu ya laana katika vizazi vyao vyote.
Acha UONGO mkuu wewe hauwajui Walimu
 
Na wewe pia acha kuongopa hapa hakuna cha mtambo wala mashine unatuzuga tu
 
Cha kushangaza na kufurahia ni kuwa walimu 90%wamekataaa kuomba, watanaka NRNE .
Oya acha UONGO hakuna walimu waliokataa huwajui Walimu wewe bora ukae kimya tu, kila Mwaka wa Uchaguzi System inawatumia Walimu kwenye usimamizi wa Uchaguzi na kigezo kimoja wapo cha kua msimamizi wa Uchaguzi uwe Mwalimu hio ni lazima uwe Mwalimu ndio watakupa nafasi kinyume na hapo hata ukiomba na wewe sio Mwalimu unajisumbua tu hawakupi nafasi ya kua msimamizi wa Uchaguzi km wewe sio Mwalimu System lazima ikukatae ni System
 
Unaandika ukiwa Sayari ya Mars?
Walimu wa USA au TANZANIA?
Kwani hiyo ni Kazi ya kujitolea au inapesa ya kununua angalau Sembe 100Kg?
 
Taarifa: Walimu wa Tanganyika ni wale waliojikatia tamaa, ajira kwao ni alpha na omega... Maslahi kwao ni kama fadhila!
 
Ni kiducho mno walio tuma maombi, na jana ndo I'li kuwa mwisho wa kutuma maombi. Walimu na watumishi wa umma wamekataaaa kata kata , kuwa sehumu ya laana ya kupora uchaguzi, tangu mwaka 1995.
 
Hivi unawezaje kuwa mwalimu halafu akakubali kuwa sehemu ya ccm? Yaani mwalimu umesoma halafu unafanya kazi ya ualimu miaka 30 kwa mshahara wa chini ya million 1 kwa mwezi. Halafu ukistafu unapewa milion 100. Hapo hapo unashiriki kuiba kura za kumfanya mbunge wa ccm aliye ishia la saba. Na huyo mbunge akifika bungeni anapisha sheria ya kuongeza mishahara ya wabunge na weza wao kuwa milioni 20 kwa mwezi . Huku akijuwa wewe mwalimu uliye muibia kura mshahara wako na kiinuwa mgogo chako kwa miaka yote 30 uliyo fundisha bado huwezi kufikisha mshahara wa mbunge miaka miwili tu. Mshahala wa mbunge ni million 660 kwa miaka miwili. Mwalimu kufikisha million 660 kwa mshahala wa million 1 kwa mwezi itamchukuwa miaka 55 .
 
Ngoja waletewe barua za vitisho uone kama hawatakubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…