Moto wa No reforms No election umeanza kuwaingia walimu watanzania, freedom is coming tomorrow!

Tatizo linakuja pale ambapo ...hao unao wasema hawaombi Usimamizi bali wanaomba posho!🥺
 
Hapa labda utueleze umetumia methods zipi kuyajua yote haya. Yaani umekagua barua za maombi zilizotumwa mikoa yota Tanzania au umetumia sample ya shuleni kwako tu ukaja na conclusion

Labda kama unazungumzia kizazi cha walimu ambacho hakijazaliwa, ila kama ni hiki kilichopo rudi tena kafanye utafiti wako upya
 
Binafsi baada ya uchaguzi 2020 niliamua bila shinikizo kutoshiriki tena kusimamia uchaguzi wala kupiga kura,,, kimsingi ukiwa mpenda haki ,mwenye uwezo wa kusimamia unachokiamini,,usiyeendekeza unafiki na kujipendekeza, mkweli na mwenye hofu ya Mungu huwezi kushiriki chaguzi zetu bila hata kushawishiwa na mtu
 
Kuwaingia wakiwa kwenye social media? reform labda CCM ipende yenyewe, ila sio kwanguvu za keybord worrior
 
Hatuombi sababu maelekezo ya wizi 2024 yalikua wazi wazi yaani unalazimishwa kuongeza😂😂! Na mikwala juu na usipoongeza basi mtendaji ataongeza mwenyewe,,, mbili posho zenyewe tulizulumiwa ndo maana tangazo lao jipya limeainisha kabisa hizo posho tofauti na 2024!....
Nimekosa sana nimekosa Mimi!...
 
Kabisa mkuu, serikali inawaona walimu wakinga, mwaka huu ni mwendo wa NRNE
 
Usiisemee nafsi ya mwalimu nchini.
Huenda una takwimu za shule yako ya Kijiji tu.
 
Kabisa mkuu, kushiriki kutenda maovu unapata laana kizazi chote, ni kukaa mbali na mambo haya
 
Nimetumi
Nimetumia kata tatu , ktk mkoa x, hakuna walimu waliomba, labda kama serikali itawakond,
 
Kwahio huu mwaka ndio wenyewe ? Au miaka mitano ijayo tutakuwa tunasema huu ndio Mwaka ?
De ja vu

NB: He who feeds you, Controls You...
 
Kwahio huu mwaka ndio wenyewe ? Au miaka mitano ijayo tutakuwa tunasema huu ndio Mwaka ?
De ja vu

NB: He who feeds you, Controls You...
Huu mwaka mapya yanakuja
 
Huu mwaka mapya yanakuja
Tukiwa hai takukumbusha miaka mitano ijayo ulete tena kauli kama hizi (au kwa kupunguza kazi unaweza tu ukawa unafanya recycle ya huu UZI every five years...

Sisemi kwamba mabadiriko hayatakuja (kila kitu kina mwisho na hususan means of production zinavyobadilika basi huwa kuna mabadiliko) na kwa sasa sayansi na teknolojia na kutokuwa na uhitaji wa nguvu kazi hence kuwa na have nots wengi lazima kutatokea mapinduzi makubwa (wala hayataletwa na wanasiasa) bali yataletwa na wabangaizaji wasiojua kesho yao...

Hence ushauri kwa viongozi wajue kula kwa kadri na wakumbuke wahenga walisema ukila na kipofu usimshike mkono bila hivyo kesho yetu wote itakuwa ngumu ila ya kwao itakuwa ngumu zaidi....
 
Unawachomea walimu,hata ambao walipisha vijana wa ajira mpya itaonekana wamegoma.
 
Itakuwa walimu wa marekani ndo wamegoma kujihusisha na siasa! Kwa Tanzania haiji tokea iyo kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…