Tetesi: Moto wafukuta ndani ya kikao cha kamati kuu ya CHADEMA

Tatizo sio ruzuku bali ni kuhusu hatima ya Godbless Lema ambae anataka uenyekiti baada ya Mzee Mbowe kumaliza muda wake 2024.Mbowe na genge lake wanataka kuendeleza utamaduni wa kurithiana ila kundi linaongoza na wasio wana Machame na hswa Mchungaji Msigwa ndio wanapinga hatua yoyote ile ya mzee Mbowe kutaka kuhakisha ya kuwa Godbless Lema anakuwa Mwenyekiti wa Chama
Chama cha wahuni
 
Hayo yapo Kwa wanachukua chako mapema,na pia wanavizi kuwahujumu wanao waogopa🤔
 
Haya maswala ya ruzuku ni ya kuyafutilia mbali.

Hatuwezi tumia kodi za wananchi kuwapa watu pesa wakazichezee kwa mambo ya anasa kama siasa.

Kila chama cha siasa kiwe na vyanzo vyake vya mapato ambayo ni donations toka kwa wapenzi wa vyama hivyo na wanachama.

Hizo fedha zikafanye mambo mengine ya msingi.
Mikitano halali ya vyama vya siasa je
 
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 uongozi wa Chadema ulitangaza kususia kupokea ruzuku kutoka Serikalini ikiwemo ruzuku ambayo walistahili kupata kupitia Wabunge 19 wa viti maalum wa chama hicho kwa madai kuwa uchaguzi huo haukuwa huru na wa haki pamoja na kudai kuwa mchakato wa upatikanaji wa wabunge hao wa viti maalum ulikuwa batili.

Cha kushangaza ni kwamba, kupitia taarifa za ndani ya Chadema zinaeleza kuwa katika kikao cha Kamati kuu cha chama hicho kilichoanza kufanyika jana (17/09/2022) ambacho mpaka sasa kinaendelea. Freeman Mbowe na John Mnyika walitoa azimio la kutaka kuanza kudai ruzuku kwa serikali ambayo awali waliisusia, jambo ambalo baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo hawajakubaliana nalo kwa kuwa wanaona kufanya hivyo ni kwenda kinyume na msimamo wa chama hicho kuhusu uchuguzi mkuu wa 2020 pamoja Wabunge 19 wa viti maalum wa chama hicho.

Kinachoendelea kupitia suala hilo ni tamaa ya Freeman Mbowe na John Mnyika juu fedha za ruzuku, jambo ambalo linaleta maswali mengi kwa wajumbe wengine wa kamati hiyo, kuwa fedha hizo zikianza kupokelewa zitatumika kwa ajili ya maendeleo ya chama hicho au zitatumika kwa maslahi binafsi ya viongozi hao? , Je kupitia suala hilo Chadema inakwenda kuwatambua rasmi akina Halima Mdee na wenzake kama wabunge wake halali?

Endapo Chadema itakuja na azimio la kudai ruzuku baada ya kikao hicho itakuwa ni jambo la kushangaza sana kwa sababu hapo awali Freeman Mbowe alitamba kuwa chama hicho kitaweza kujiendesha bila kutegemea ruzuku kutoka Serikalini. Nukuu: "Tulivyoacha kupokea ruzuku walidhani tusingeweza kujiendesha hata kwa mwezi mmoja, walidhani kwamba Chadema inajiendesha kwa ruzuku pekee ya serikali bila kusahau Chadema inaendeshwa kwa akili, maarifa na upendo"-Freeman Mbowe.

Chadema haiaminiki.
😆😆😆😆 Wanadai ruzuku Ili wapate pesa ya kufanya ukarabati wa Ofisi Yao hii hapa 👇
 
Attachments

  • 20220726_180627.jpg
    20220726_180627.jpg
    23.6 KB · Views: 2
Njaa zetu zilishahama kutoka tumboni na kuishi vichwani - CDM si chama cha siasa tena ni Genge
 
Ruzuku ni haki yao, tuliwaambia nyani hasusiwi shamba la mahindi! Sometimes Chadema wanatembea na upepo kuliko vision yao.

Mbowe kama anataka kurudisha nguvu ya umma upya apange safu zake na kuondoa makundi ambayo chanzo chake kilianza kuelekea uchaguzi wa 2015.

Warejeshe think tanks kwenye maeneo nyeti ili chama kiende kwa mipango na nidhamu badala ya hisia za viongozi na wanachama maarufu huko Twitter.

Chama kirejee kwenye kutoa dira za kila changamoto, sera na mipango badala ya watu kusubiri tweets binafsi za akina Lema.
Kina Lema hawakwenda twitter kwa kupenda, walipelekwa kwa lazima.

1. Wamezuiwa kufanya mikutano ya hadhara.

2. Walitishiwa maisha yao wakakimbia nchi.
 
Upuuzi mtupu. Huwezi kuwakana hao 19 halafu udai ruzuku dunia itakushangaa. Mleta mada toa upuuzi huo.
 
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 uongozi wa Chadema ulitangaza kususia kupokea ruzuku kutoka Serikalini ikiwemo ruzuku ambayo walistahili kupata kupitia Wabunge 19 wa viti maalum wa chama hicho kwa madai kuwa uchaguzi huo haukuwa huru na wa haki pamoja na kudai kuwa mchakato wa upatikanaji wa wabunge hao wa viti maalum ulikuwa batili.

Cha kushangaza ni kwamba, kupitia taarifa za ndani ya Chadema zinaeleza kuwa katika kikao cha Kamati kuu cha chama hicho kilichoanza kufanyika jana (17/09/2022) ambacho mpaka sasa kinaendelea. Freeman Mbowe na John Mnyika walitoa azimio la kutaka kuanza kudai ruzuku kwa serikali ambayo awali waliisusia, jambo ambalo baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo hawajakubaliana nalo kwa kuwa wanaona kufanya hivyo ni kwenda kinyume na msimamo wa chama hicho kuhusu uchuguzi mkuu wa 2020 pamoja Wabunge 19 wa viti maalum wa chama hicho.

Kinachoendelea kupitia suala hilo ni tamaa ya Freeman Mbowe na John Mnyika juu fedha za ruzuku, jambo ambalo linaleta maswali mengi kwa wajumbe wengine wa kamati hiyo, kuwa fedha hizo zikianza kupokelewa zitatumika kwa ajili ya maendeleo ya chama hicho au zitatumika kwa maslahi binafsi ya viongozi hao? , Je kupitia suala hilo Chadema inakwenda kuwatambua rasmi akina Halima Mdee na wenzake kama wabunge wake halali?

Endapo Chadema itakuja na azimio la kudai ruzuku baada ya kikao hicho itakuwa ni jambo la kushangaza sana kwa sababu hapo awali Freeman Mbowe alitamba kuwa chama hicho kitaweza kujiendesha bila kutegemea ruzuku kutoka Serikalini. Nukuu: "Tulivyoacha kupokea ruzuku walidhani tusingeweza kujiendesha hata kwa mwezi mmoja, walidhani kwamba Chadema inajiendesha kwa ruzuku pekee ya serikali bila kusahau Chadema inaendeshwa kwa akili, maarifa na upendo"-Freeman Mbowe.

Chadema haiaminiki.
wewe ndo unaijua leo!sisi wengine tunaomba Mungu ajitokeze mzalendo aanzishe chama imara tuiondoe kijani 2025.hapo unatafutwa upigwaji baada ya kuona mambo mazito.kwa mantiki hiyo waiondoe hiyo kesi mahakamani wakubali yaishe sababu COVID hawachomoleki pale mjengoni mpaka 2025.
 
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 uongozi wa Chadema ulitangaza kususia kupokea ruzuku kutoka Serikalini ikiwemo ruzuku ambayo walistahili kupata kupitia Wabunge 19 wa viti maalum wa chama hicho kwa madai kuwa uchaguzi huo haukuwa huru na wa haki pamoja na kudai kuwa mchakato wa upatikanaji wa wabunge hao wa viti maalum ulikuwa batili.

Cha kushangaza ni kwamba, kupitia taarifa za ndani ya Chadema zinaeleza kuwa katika kikao cha Kamati kuu cha chama hicho kilichoanza kufanyika jana (17/09/2022) ambacho mpaka sasa kinaendelea. Freeman Mbowe na John Mnyika walitoa azimio la kutaka kuanza kudai ruzuku kwa serikali ambayo awali waliisusia, jambo ambalo baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo hawajakubaliana nalo kwa kuwa wanaona kufanya hivyo ni kwenda kinyume na msimamo wa chama hicho kuhusu uchuguzi mkuu wa 2020 pamoja Wabunge 19 wa viti maalum wa chama hicho.

Kinachoendelea kupitia suala hilo ni tamaa ya Freeman Mbowe na John Mnyika juu fedha za ruzuku, jambo ambalo linaleta maswali mengi kwa wajumbe wengine wa kamati hiyo, kuwa fedha hizo zikianza kupokelewa zitatumika kwa ajili ya maendeleo ya chama hicho au zitatumika kwa maslahi binafsi ya viongozi hao? , Je kupitia suala hilo Chadema inakwenda kuwatambua rasmi akina Halima Mdee na wenzake kama wabunge wake halali?

Endapo Chadema itakuja na azimio la kudai ruzuku baada ya kikao hicho itakuwa ni jambo la kushangaza sana kwa sababu hapo awali Freeman Mbowe alitamba kuwa chama hicho kitaweza kujiendesha bila kutegemea ruzuku kutoka Serikalini. Nukuu: "Tulivyoacha kupokea ruzuku walidhani tusingeweza kujiendesha hata kwa mwezi mmoja, walidhani kwamba Chadema inajiendesha kwa ruzuku pekee ya serikali bila kusahau Chadema inaendeshwa kwa akili, maarifa na upendo"-Freeman Mbowe.

Chadema haiaminiki.
Mleta uzi, ukiona mtu kila wakati haachi kumsema mkeo, hata kwa ubaya, chukua tahadhari, anamtaka kimapenzi. Hamia huko. Sisi CCM tuko vizuri na kuondoka kwako hakuna madhara.
 
Ruzuku haina uhusiano wa moja kwa moja na covid 19. Ruzuku inatokana na asilimia ya kura za urais alizopata Lisu.
 
Back
Top Bottom