Moto washindwa kudhibitiwa-Israel

Moto washindwa kudhibitiwa-Israel

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Moto wa nyika haudhibitiwi.

Watu wanatelekeza magari yao kwenye Barabara kuu na kukimbia kwa miguu.
Huku nyuma wakisababisha msongamano wa magari
Upepo mkali unafanya juhudi za kuzima moto kutowezekana kirahisi.
Msaada wa kudhibiti na kuzima moto huo kutoka Ugiriki, Kroatia, Italia, na Cyprus unatarajiwa kuwasili muda chache ujao.
 

Attachments

  • IMG_4170.mp4
    1.2 MB
  • IMG_4169.mp4
    1.4 MB
  • IMG_2669.jpeg
    IMG_2669.jpeg
    176.3 KB · Views: 18
Moto wa nyika haudhibitiwi.

Watu wanatelekeza magari yao kwenye Barabara kuuna kukimbia kwa miguu.
Huku nyuma wakisababisha msongamano wa magari
Upepo mkali unafanya juhudi za kuzima moto kuwa karibu kutowezekana.
Usaidizi kutoka Ugiriki, Kroatia, Italia, na Cyprus unatarajiwa kuwasili saa chache zijazo.
poleni ila wayahudi mnastahili zaidi ya hapo
 
Huko kuna waarabu zaidi ya milion mbili kwa hiyo si ajabu kusikia UHARO huo!!
Pole sana kaka, vumilia tu iingie utafanya nini sasa na ndio ushachanua.

Mbona uislam unakuuma sana na hata sioni sababu ya msingi.? Sisi sote ni binadamu pamoja na utofauti wa dini na makabila,lakini kwa Mrengo wako unaeza ua hata asokuwa kabila lako.
 
Back
Top Bottom