Moto washindwa kudhibitiwa-Israel

Moto washindwa kudhibitiwa-Israel

Chanzo cha huu moto ni nini?
Chanzo cha moto huo ni vijana wa kiarabu walianzisha mioto hiyo sehemu mbalimbali nchini humo na vijana zaidi ya 100 wa kiarabu walikamatwa.
Vijana hao walikuwa wakihamasishwa na magaidi wa Hamas na wengine walikuwa wakihamasishana kwa njia ya mitandao ya kijamii.

Magaidi hao wametumia nafasi ya mabadiriko ya tabia nchi kuzusha taharuki nchini kwa kuwasha mioto katika sehemu mbalimbali za Israel isipokuwa maeneo ya waarabu tu ndiyo hayakuwa na hatari ya moto isipokuwa maeneo yao pia yalikumbwa na dhoruba ya Jangwani (Sandstorm) yakiwemo maeneo ya Gaza,Misri na sehemu zingine huku Mashariki ya kati.
 

Attachments

  • telegram_video.mp4
    15.2 MB
  • telegram-cloud-document-4-5805538273602312847.mp4
    3.1 MB
  • IMG_2679.jpeg
    IMG_2679.jpeg
    258.1 KB · Views: 8
Chanzo cha moto huo ni vijana wa kiarabu walianzisha mioto hiyo sehemu mbalimbali nchini humo na vijana zaidi ya 100 wa kiarabu walikamatwa.
Vijana hao walikuwa wakihamasishwa na magaidi wa Hamas na wengine walikuwa wakihamasishana kwa njia ya mitandao ya kijamii.

Magaidi hao wametumia nafasi ya mabadiriko ya tabia nchi kuzusha taharuki nchini kwa kuwasha mioto katika sehemu mbalimbali za Israel isipokuwa maeneo ya waarabu tu ndiyo hayakuwa na hatari ya moto isipokuwa maeneo yao pia yalikumbwa na dhoruba ya Jangwani (Sandstorm) yakiwemo maeneo ya Gaza,Misri na sehemu zingine huku Mashariki ya kati.
Si wapo vitani wapambane sasa
 
Mtawacha kusingizia watu nyie hata kama ni wao huo moto bila ya Allah usinge kuwa mkali vile. We kenge yule mungu kinyonga mnaye sema 1=3 hakuona huo moto akaliokoa taifa teule lake la mashoga.

Si wapo vitani wapambane sasa
Hata hivyo waliochoma moto wamekamatwa wakiwa na vitendea kazi vyao.
Zoezi la kuzima moto huo linaendelea vizuri!!
 

Attachments

  • WhatsApp Video 2025-04-30 at 19.07.52.mp4
    1.7 MB
  • WhatsApp Video 2025-04-30 at 17.36.46.mp4
    2.2 MB
Ila watu wana chuki na imani za watu, eti Uharo
Mbona nanyi mnasema maneno mengi tu ya kejeli sisi hatusemi leo hii umeshikwa Makalio unaanza kulialia kutafuta huruma kwa watu toa kwanza boriti kwenye jicho lako!!
 
Naona wayahudi wanalalamika moto umeanza sehemu tofauti tofauti za nchi na haupo kwenye viunga vya waisrael waarabu,hicho ni kitu kizito wamepigwa mbwa hao
Uzuri watoto wa mbwa zaidi ya mia wako mikononi mwa polisi na kosa walilolifanya linaunganishwa kwenye UGAIDI hapo sasa wataisoma namba na jamaa zao Hamas
 

Attachments

  • telegram_video.mp4
    15.2 MB
  • IMG_2679.jpeg
    IMG_2679.jpeg
    258.1 KB · Views: 9
Uzuri Tatizo hili limezikumba nchi zote za Mashariki ya kati kuna dhoruba ya Jangwani (Desert Storm ) au Sand storm misri,Jordan janga hili limewakumba.
Kwa upande wa Israel magaidi wametumia janga hilo kwa kuwasha mioto kwenye hifadhi mbalimbali hapa nchini
Huko Gaza Mahema karibu yote yamebebwa na upepo leo hii wengi huko watalala nje
 

Attachments

  • video5807447979270870952.mp4
    5 MB
  • 8150912724044765276.mp4
    3.1 MB
Moto wa nyika haudhibitiwi.

Watu wanatelekeza magari yao kwenye Barabara kuu na kukimbia kwa miguu.
Huku nyuma wakisababisha msongamano wa magari
Upepo mkali unafanya juhudi za kuzima moto kutowezekana kirahisi.
Msaada wa kudhibiti na kuzima moto huo kutoka Ugiriki, Kroatia, Italia, na Cyprus unatarajiwa kuwasili muda chache ujao.
Myahudi kwanini usiende kuwasaidia mayuhudi wenzio? Upo humu propaganda tu
 
Wanaficha kama Uchi !!!
Hakuna hata mtu mmoja aliyekufa na bahati nzuri sasa hivi kuna mvua kubwa inanyesha kwa hiyo hiyo miotł Itaki wa na mvua hiyo Mungu hadhihakiwi Mbwa nyie!!!l
 
U
Myahudi kwanini usiende kuwasaidia mayuhudi wenzio? Upo humu propaganda tu
Ulivyo Mjinga hata hujui sasa hivi mimi niko Tel Aviv nina ziara ya miezi 2 narudi bongo June 08,2025. Endelea tu wewe kulalamika!!
 
Mungu anapiga kiberiti wateule wake ?
Acha ujinga wewe huko Gaza,misri na Jordan kuna tufani ya Jangwani hao unasemaje sasa? Wamepigwa na allah?
 

Attachments

  • video5807447979270870952.mp4
    5 MB
  • 8150912724044765276.mp4
    3.1 MB
Back
Top Bottom