Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
Wajomba wametelekeza mpaka silaha juzi waliidipu iran leo wamepigiwa
Hakuna kifaru kinachoungua hapo!! Wajinga na wapumbavu wenzako ndiyo wataamini uongo wako huo.Wajomba wametelekeza mpaka silaha juzi waliidipu iran leo wamepigiwa
View attachment 3321132View attachment 3321133
Mungu akutangulieHuko kuna waarabu zaidi ya milion mbili kwa hiyo si ajabu kusikia UHARO huo!!
Hakuna kifaru kinachoungua hapo!! Wajinga na wapumbavu wenzako ndiyo wataamini uongo wako huo.
Kama kungekuwa na hatari vifaru hivyo vingeondoshwasehemu hiyo na![]()
Kama kuondoa ni rahisi wangeondoa hili gari we mpuuzikupelekwa sehemu nyingine!!
Najua kuna magari 2 ya zimamoto yameungua yakiwa kazini kuzima moto baada ya kuzama huko Porini. Kwenye vifaru wadanganye wajinga na wapumbavu wenzakoKama kuondoa ni rahisi wangeondoa hili gari we mpuuzi
View attachment 3321145
Watch your mouth bro.Huko kuna waarabu zaidi ya milion mbili kwa hiyo si ajabu kusikia UHARO huo!!
Mungu mkubwa sana,,,,, hii mijinga wanakimbia Moto uku kila siku wanawapelekea moto wenzaoLeo hata muda wa kuishambulia ghaza hawajapata
Wapi ww upo uyoleMimi nakula Bata tu!!!
BangiFegi
Sawa sawaHata hivyo waliochoma moto wamekamatwa wakiwa na vitendea kazi vyao.
Zoezi la kuzima moto huo linaendelea vizuri!!
Utajua tu we jitoe fahamu tu, wenzako wanalia na moto huko wanaomba msaada kila kona, greece na cypruss wamekataa kutoa msaada , acha waungue tu mbwa waleNdiyo mnyama gani huyo?