Chanzo cha moto huo ni vijana wa kiarabu walianzisha mioto hiyo sehemu mbalimbali nchini humo na vijana zaidi ya 100 wa kiarabu walikamatwa.Chanzo cha huu moto ni nini?
Si wapo vitani wapambane sasaChanzo cha moto huo ni vijana wa kiarabu walianzisha mioto hiyo sehemu mbalimbali nchini humo na vijana zaidi ya 100 wa kiarabu walikamatwa.
Vijana hao walikuwa wakihamasishwa na magaidi wa Hamas na wengine walikuwa wakihamasishana kwa njia ya mitandao ya kijamii.
Magaidi hao wametumia nafasi ya mabadiriko ya tabia nchi kuzusha taharuki nchini kwa kuwasha mioto katika sehemu mbalimbali za Israel isipokuwa maeneo ya waarabu tu ndiyo hayakuwa na hatari ya moto isipokuwa maeneo yao pia yalikumbwa na dhoruba ya Jangwani (Sandstorm) yakiwemo maeneo ya Gaza,Misri na sehemu zingine huku Mashariki ya kati.
Mtawacha kusingizia watu nyie hata kama ni wao huo moto bila ya Allah usinge kuwa mkali vile. We kenge yule mungu kinyonga mnaye sema 1=3 hakuona huo moto akaliokoa taifa teule lake la mashoga.
Hata hivyo waliochoma moto wamekamatwa wakiwa na vitendea kazi vyao.Si wapo vitani wapambane sasa
Watumie F35 si wanazo nyingi pamoja na za mikopoHata hivyo waliochoma moto wamekamatwa wakiwa na vitendea kazi vyao.
Zoezi la kuzima moto huo linaendelea vizuri!!
Uzuri watoto wa mbwa zaidi ya mia wako mikononi mwa polisi na kosa walilolifanya linaunganishwa kwenye UGAIDI hapo sasa wataisoma namba na jamaa zao HamasNaona wayahudi wanalalamika moto umeanza sehemu tofauti tofauti za nchi na haupo kwenye viunga vya waisrael waarabu,hicho ni kitu kizito wamepigwa mbwa hao
Wanaficha kama Uchi !!!Hadi sasa ni Waisraeli wangapi wamevuta?
Myahudi kwanini usiende kuwasaidia mayuhudi wenzio? Upo humu propaganda tuMoto wa nyika haudhibitiwi.
Watu wanatelekeza magari yao kwenye Barabara kuu na kukimbia kwa miguu.
Huku nyuma wakisababisha msongamano wa magari
Upepo mkali unafanya juhudi za kuzima moto kutowezekana kirahisi.
Msaada wa kudhibiti na kuzima moto huo kutoka Ugiriki, Kroatia, Italia, na Cyprus unatarajiwa kuwasili muda chache ujao.
FegiChanzo cha huu moto ni nini?
Kama jeshi la kukodi?U
Ulivyo Mjinga hata hujui sasa hivi mimi niko Tel Aviv nina ziara ya miezi 2 narudi bongo June 08,2025. Endelea tu wewe kulalamika!!
Echolima1 mnyamaaa lakin wewe si uko salama rafiki Ritz na Malaria 2[/USE
[/QUOTE]
Mimi niko salama kabisa na team yangu ndani ya Jiji la Tel Aviv ambao Wahouth kila siku wanasema Wame lipina mabomu wakati sisi tulioko hatujaona lolote watu wanakula Bata kama kawaida tu.
kesho tunaanza sherehe kuadhimisha miaka 77 ya uhuru wa Israel 🇮🇱
[USER=34266]Ritz na jopo lake watajuta kuzaliwa!!![/USER]