"Moto" ya Nay wa Mitego imezimwa ghafla na "True boya" ya Young killer Msodoki

"Moto" ya Nay wa Mitego imezimwa ghafla na "True boya" ya Young killer Msodoki

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,977
Reaction score
2,200
Kumekucha wakuu, game ya hip hop bongo imekazaa sasa maana kila kukicha ni battle after battle hii ni battle ya pili sasa baada ya ile ya msanii wa twitter "wakazi" dhidi ya king from salasala "Godzilla"

Imezoeleka kwa msanii Nay wa mitego kutoa nyimbo za mipasho na michambo dhidi ya wasanii wenzie, kama kawaida yake juzi tu hapa ametoa ngoma yake imejaa mipasho haswaaaaa

wimbo huo wa Nay kaupa jina la Moto, umemwingiza cha "kike" kwani amejaribu kumgusa na kumdis Young Killa msodoki
Hivyo young killa kaamua kuuzima moto wa mabua uliowashwa na Nayma wa mitego kutoka manzese

kiukweli Young kila kamaliza kabisa na ngoma ya "True boya"
nay ni boya kweli, yaaani habadiliki na hajielewi kile anachokifanya kwani mziki anaoufanya kila nyimbo yake haina jipya kabsa


amewasha moto wa mabua na sasa umezimwa, mwanaume gani wewe Nay unachamba zaidi ya Mange Kimambi
 
bd545bbfe8977230fcd4866fe79bffcf.gif
 
Ngoja tuone what next....but namuaminia mchizi wangu Ney....Hataiangushaaa!
 
Back
Top Bottom