Mambo ya Pikipiki sijui mashindano Yao angalau nitapata elimu kwa Ndugu zangu hapa kina Mourinho
Sijawahi kukaa na kutizama zaidi naona nabadilisha channel namjua Valentino Rossi tu.Umewahi japo kuyaona/kuyaangalia?
Sijawahi kukaa na kutizama zaidi naona nabadilisha channel namjua Valentino Rossi tu.
Doh, hii ilikua race ya kiume, Marc Marques ni habari nyingine aisee itabidi umkubali tu, Pedrosa anaonekana karudi, good race from him na the doctor anautumia uzoefu vizuri....
TT Assen GP
Qualification:-
1. Aleix Espargaro - Forward Yamaha
2. Marc Marquez - Honda
3. Dani Pedrosa - Honda
4. Andrea Iannone - Ducati
9. Jorge Lorenzo - Yamaha
12. Valentino Rossi - Yamaha.
Note:
Mashindano haya yatafanyika siku ya Jumamosi tarehe 28/06/14, saa 9 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki. Ni mashindano pekee katika kalenda ya MotoGP kufanyika siku ya Jumamosi.
Moto2, inanipita leo... Hapa nafanya fasta shughuli fulani ili niwahi kucheck overtake za The Doctor...
Naona kuna delayed.....