The Doctor anakwenda Ujerumani weekend hii akiwa na smile tele, ni baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na Yamaha....
View attachment 170378
This was shocking but this guy survived.... Now he's trying to get pole position...
Huyu dogo yupo kwenye Sayali nyingine.... Who will he stop him?
Labda Pedrosa!
Lorenzo leo ataiona podium... Naona Rossi amekubali kushindwa leo!
Lorenzo leo ataiona podium... Naona Rossi amekubali kushindwa leo!
Red Bull Indianapolis GP - Pole Position
Issue ya Motogp itakuwa ni saa tatu usiku kwa saa zetu za Afrika Masharik.
Wataanza kama hivi...[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]Marquez[/TD]
[TD]Honda[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]Dovizioso[/TD]
[TD]Ducati[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]Lorenzo[/TD]
[TD]Yamaha[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]Rossi[/TD]
[TD]Yamaha[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8[/TD]
[TD]Pedrosa[/TD]
[TD]Honda[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kinachofurahisha zaidi, hata haibored anavyoshinda na kujiwekea rekodi mpya mpya! Hapana shaka itachukua miaka mingi kutokea kijana mwenye kipaji kama chake!Marquez ametisha.... Hii weekend anatafuta 11/11 wins... New WR! Dogo yuko vizuri aise...