MotoGP, WRC, SuperBike and other Motorsports

Marquez had a bad start....
 
Lorenzo anapunguza gap kwa kasi kumkaribia Pedrosa
Bado lap 5
 
Pedrosa kashinda, MM kamaliza wa nne, akiwa na masikitiko tele
 
Bwin GP (Czech Republic) - Results
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]1.[/TD]
[TD]Pedrosa[/TD]
[TD]Respol Honda[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2.[/TD]
[TD]Lorenzo[/TD]
[TD]Movistar Yamaha MotoGP[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3.[/TD]
[TD]Rossi[/TD]
[TD]Movistar Yamaha MotoGP[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4.[/TD]
[TD]Marquez[/TD]
[TD]Respol Honda[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5.[/TD]
[TD]Iannone[/TD]
[TD]Pramac Racing (Ducati)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hahaahha... Leo hakuna podium for MM93. Hata hivyo kajitahidi sana....
Atakuwa alifanya kosa fulani katika setting, kwani alipokuwa nyuma ya VR lap time ilikuwa nzuri kuliko Pedrosa, kiasi cha kuhisi kuwa anaweza kumaliza wa pili....

Alifanikiwa kumpita VR ila akashindwa kabisa kumkaribia Lorenzo, na speed yake ikiwa haiongezeki, VR akaona ni chance yake ya mwaka, kamfukuza kama lap tatu hivi, na kufanikiwa kumpita! Furaha yake ilioneka walipofika kwenye straight lane, kwani alimchungulia kiania
" yuko wapi huyu dogo MM..."
 
Bado yuko vizuri. Nadhani pia tyre choice na weather zimeleta frustration sana leo.
The boy will come back still... huu ni msimu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…