Motra the future na Diss Track dhidi ya Kikosi Kazi awaita kikosi kazi WEUPE

Ile ngoma ya HAUTAKI ni the best song na Hilo halina ubishi. Mziki wa Arusha una impact kubwa Sana kwenye game ya bongo na kimataifa kwa ujumla.

Kwa mfano Kama ingekuwa kweli, rapper kama Basta Rahymes au Evidence, au Rakaa achana na mtu Kama Nas au Rakim..ao wote hawawezi kupiga collabo na rappers wa mipasho Kama Nikk mbishi au songa, labda kidogo wakazi na Nash Mc ..unadhani ni kwanini? Hip-hop yao hao KIKOSI KAZI imekaa kimipasho Sana hawako really kabisa. Wanajikuta next level wakati hata Uganda tu hapo hawajulikani.

Hip-hop ya A Town imevuka boda kitambo mbele uko mziki unapigwa Sana ..nyie wazaramo pigeni mipasho hip-hop ni really.

Kwaya ya Cecilia wanapiga hela tamaduni wao wanatafuta attention..
 
Hujui hip hop na misingi yake, hujui lyrical na mpangilio wa bora wa kimashairi unazingatia factors zipi

HAUTAKI ni moja ya track mbovu kushuhudiwa tangu mwaka uanze, haina vina, alichokifanya motra, mtu yeyote asiyejua rap anaweza

Kuna clip niliiweka hapo mwanzko ikumuonesha mc wa sherehe akiongea maneno kama hayo ya motra, je unamtofautisha vipi na motra? naye unamuona ni mkali?

Na vipi nikikuambia motra hana creativity maana kamkopi mchizi ambaye alitangulia kabla yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…