Oyaaa nyie ma haters kaskizeni ngoma la Motraa #WEUPE PEE ..acheni uduwanzi hip-hop hamuiwezi nyie mamluki munaaribu gemu machali wa dar mnafeli Sana.
Arusha imewakilisha bongo hip-hop kimataifa kwa miaka mingi Sana. Ni takataka gani ya Dar ishawahi kufika hata Nigeria hapo kupiga kolabo?
X plastaz wamepiga show za kushato hapo USA, ENGLAND, UHOLANZI, na pengine pengi Tena miaka hiyo hata machali wengi hamjazaliwa hapa.
G-sun kapiga BET cypher 2009 pembeni akiwamo, Nick minaji, Nipsey hastle, KRS One na wakali kibao, hao wakina Nikk walikuwa wapi wasifanye hizo movement, wakali Kama akina Fid Q, KIKOSI CHA MIZINGA, wanaheshimu hip-hop ya Chuga maana wanajua ilipowatoa.
Nyie watoto wa juzi mamluki hamjui kitu oote kuhusu hip-hop mnaannza wadiss WEUSI hujui walipoanza game wakati wengine mpo kwenye viuno vya baba zenu pumbavu kabisa.
Joh Makin anarap huyo Nikk mbishi alikuwa chokoraa tu mitaa ya hapo sinza kafunzwa mziki na wahuni role model wake ni Joh leo anakuja leta chuki za kimama wakati kipaji anacho anashindwa kutumia nafasi aliyopata kazi kutowa track za kudiss ma presenta, na wakali wengine wa media halafu akidisiwa na kuchanwa ukweli analeta mbambamba mingi.
Nyie machali mkae mkijua watu Wana switch game ili kuvutia ma fansi maana Kila kizazi kinakuja na staili yake. Sasa huyo Nikk na wenzie machoko wanakalia kulia lia tu na muda unakwenda ..next three years Hawa mbanga tutawatoa kweye game mazima.
Hip-hop ipo Arusha na Kenya tu ..hapo dar wengi mipasho.
Kama unabisha BISHA.