Motra the future na Diss Track dhidi ya Kikosi Kazi awaita kikosi kazi WEUPE

We jamaa bana kama vitu hujui si ukae kimya tu shida inakuja wp aiseee
Kweli krs1 kweli??dah
Sijui nini wewe? Umeskiza ngoja za KRS 1 siku au miaka ya hivi karibuni?
Washajibu, unasemaje..
Wamejibu wqngapi? Uyo Pmawenge na uzoefu wake kwenye game anatoa diss ya kishamba vile..

Umeskiza #HAUTAKI? mpka sasa Motra anawakimbiza machizi wamepanick wanaimba matusi
 
Heshima ya pmawenge inazidi kushuka, badala ya kufuata ushauri wa Motra ..yeye anajikuta konki ana rap mipasho na diss ya kishamba ..Motra bado anakimbiza katoa ajira hadi kwao kikosi kazi sasa wana kazi ya kumjibu mwamba.

Mwambie ni uyo chali mawenge atulize akili askize vizuri #WEUPE na #HAUTAKI ili ajue ni wapi ana kosea maana kwenye game yuko kitambo eti leo anashindana na Motra ...huo ni uduwanzi.
 
Hujui hip hop wewe, alichokifanya p mawenge ni wasanii wachache sana wenye uwezo wa ku delivery message kwa hidden code iliyo pangilika

Halafu sijajua kwanini mpaka sasa umeshindwa kututajia hiyo trap ya krs
 
Heshima ya p mawenge inashuka kwasababu future wife wake alimdhalilisha

Ebu mskie mwenyewe hapa

Hivi ni nini baby wangu kilichofanya unidhalilishe, mpaka majirani wananitukana ili niaibike.../

Wala sikufikiri kama tungekuja kuachana, na ukatumwa na mabwana zako kuja kuntukana.../

Mi naletewa umbea tu unavyo change mabwana, roho iliniuma haki nilisikitika sana.../
 
Uyo pmawenge hakupaswa kuandika hivi. Hapo ni sawa na mtu kukuambia ukweli halafu wewe umtukane..
 
Hujui hip hop wewe, alichokifanya p mawenge ni wasanii wachache sana wenye uwezo wa ku delivery message kwa hidden code iliyo pangilika

Halafu sijajua kwanini mpaka sasa umeshindwa kututajia hiyo trap ya krs
Code gani wewe? Kuna code yeyote au ni mipasho tu?! Bado hajajibu ile #WEUPE diss ..anachofanya ni kumuattack kwa matusi kiss kachanwa ukweli na nyie ma fans zake mlivyo na wenge kama ndugu enu ..amskizi ngoma vizuri basi mnajaa tu kizembe..

Kwa mfano kwenye ile ngoma ya #WEUPE Motra amemtukana nani mule zaidi ya kuwachana tu? Sasa kama uyo pmawenge anashindwa kuelewa rhymes za mchizi na kumu attack kwa matusi huyo tunamtoa kwenye kundi ..siyo emcee mwenye misingi.
 
Alipaswa aandikaje akuridhishe?

Kwani p mawnge hajamuambia ukweli motra?
Ukweli gani? Kwanini asingepita moja kwa moja hadi atumie mistari mipasho ..mf kumuita mchizi wife, sijui nini mabwana zako ..huoni kma ni mipasho Hiyo?

Jamaa kadhihirisha ana mawenge atulize akili ajib diss ya Motra
 
Code gani wewe? Kuna code yeyote au ni mipasho tu?! Bado hajajibu ile #WEUPE diss ..anachofanya ni kumuattack kwa matusi kiss kachanwa ukweli na nyie ma fans zake mlivyo na wenge kama ndugu enu ..amskizi ngoma vizuri basi mnajaa tu kizembe..

Kwa mfano kwenye ile ngoma ya #WEUPE Motra amemtukana nani mule zaidi ya kuwachana tu? Sasa kama uyo pmawenge anashindwa kuelewa rhymes za mchizi na kumu attack kwa matusi huyo tunamtoa kwenye kundi ..siyo emcee mwenye misingi.
Kama hakuna codes basi hutakiwi kumlalamikia kua kamu attack kwa matusi wakati huna uthibitisho kwamba ile ngoma kaimbwa motrah

Na hata hayo matusi huwezi kunitajia ni wapi kayatukana
 
Ukweli gani? Kwanini asingepita moja kwa moja hadi atumie mistari mipasho ..mf kumuita mchizi wife, sijui nini mabwana zako ..huoni kma ni mipasho Hiyo?

Jamaa kadhihirisha ana mawenge atulize akili ajib diss ya Motra
We umejuaje kwamba huyo wife ni motrah?

Kwani motrah ni jinsia gani mpaka umuhusishe na kilichoimbwa mle?
 
Naona P Mawenge ametuma majibu

My Future Wife
Hivi nini Baby wangu kilichofanya unidharirishe/
Mpaka majirani wananitukana ili niaibike/
Sema kama mimi ndo nlikukana usifiche/
Ka so wenyewe kuna bwana alikufanya ukipe/
Ulipotoka kwenu ni mimi ndo ulifwata/
Ingawa mabwana zako mjini walishajipata/
Ila sababu tu kijijini walikukacha/
Ukaona bora tu utulie na mimi tuanze chapta/
Nikakupa mahaba na ukadata nayo sana/
Nikajua lile penzi tungezikwa nalo mama/
Wala sikufikiri kuna siku tungeachana/
Na ungetumwa na mabwana zako uje kuntukana/
Kwanza hatukugombana hakuna nlichokufanya/
Ila ukatoka kwangu ukanza kuishi kwa kuhamahama/
Mi naletewa umbea tu unavochange mabwana/
roho iliniuma haki nilisikitika sana/
Ukazungusha mwili kila kona ya mtaa/
Na hasa ulipagawa kila ulipoona mastaa/
Nilikonda watu wakajua nna ngoma kachaa/
Wakati mwanzo ulinikuta nimenona balaa/
Ukadanga sana ukijua utapata matajiri/
Ajabu wakakutosa kila ulipowapa mwili/
Dunia kijiji si ndo zikatapakaa siri/
Kwamba umewarudia wale walokutosa A City/
Hapo ndo nikajua kwamba huwapendi mahasla/
Unapenda mabishoo wenye vichenji vya ghafla/
Wanavyopata kwenye ki ki ki kitonga/
Hadi ukawapa ki ki ki kidonda/
Ulinishinikiza sana tuiandae future/
Tumwombe sana Mola mana ndo atakayetupa/
Sa kwa nini boya alokutosa umvagae pupa/
Au ushamba baby umekufanya ukashangae supra/
Kisa machekibobu na wamesokota virasta/
Yani wamekuchanganya kabisa mpaka umedata/
Ukisema “sina koloni” sa mbona umelifuata/
Bila hata kujali walikuona kama takataka/
Najiuliza ni kipi cha siri wanachokupa/
Kusema kweli kwa hizi siku mbili umefutuka/
Umenona baby yani mpaka mwili umechanuka/
Ila punguza japo kilo mbili mbili utapasuka/
Lakini kuwa makini, nenda kwa tahadhari/
We ndo umedata nae ila mwenzio hana habari/
Na hata akiulizwa manzi gani anamkubali/
Anamtaja mwingine kwako we anapita tu safari/
Sasa leo cheki unanivua nguo hadharani/
Na tulishea nyumba hadi funguo za chumbani/
Kisa kakusitiri bwana ako huyo wa zamani/
Baby unabugishwa hivi ujinga huo ujinga gani/
Mara kibao nimejitahidi kukuskiza/
Kipindi wanaotujua wanapoamua kukuuliza/
Kisa mi na hao mabwana zako hatujawahi kuiva/
Ndo unanichukia mpaka unazuga hadi kujiliza/
Eti mabwana wa Dar ujue wana dharau kweli/
Madem wa Chuga wanatuona ka ma haugeli/
Wanamsifia Uwoya tu anti Ezekieli/
Wabaguzi sana siwataki tena wamefeli/
Sa mbona juzi kati hadi simu niliwapigia/
Japo nlijua manzi wangu wananikanyagia/
Utofauti wetu pindi tunakufkuzia/
Sikupenda uwe kikwazo chetu kwenye hii dunia/
Dear future wife, jua kuwa umecheza rafu/
Wala sijafurahi wewe kunjazia watu/
Yote nilokufunza pindi ulipotua mjini/
Eti leo unatangaza we ndo wa kunishauri mimi/
Ndio najua kwenu ulishafunzwa na makungwi/
Lakini usibishe mi ndo nilikuongezea ufundi/
Ila chunga usije fanywa demu wa kundi/
Mana wewe bwana wako na mashem naskia mnashea ukumbi/
Najua ni mashost hao ndo wamekuchochea/
Hata kuna vijembe ni wao walikuongezea/
Kipindi unanitusi walisimama kidedea/
Ila nikikinukisha wote gizani watatokomea/
Bwana ako si ndo yule mwana flani mwenye ugoko/
Ndo umedata kwake unampa penzi motomoto/
Mshaonekana sana pande nyingi za mitoko/
Na naskia umekubali mpaka kumzalia mtoto/
Wale waoga tu, nawachukia for life/
Yani wameshindwa kwenye ngumi wamehamia kwa wife/
Nawastahi tu ningeshawatia ma knife/
Hadi wakilala waniote nawajia ma night/
My future wife…….
 
hata hivo mistari mepesi sana
 
Hip Hop ya Kibongobongo huwa inabadilika maana kutokana na kinachojadiliwa ni kipi na sio kipi kinamaanisha Hip Hop kwa ujumla.

Binafsi nayaona mapengo mengi kwa namna Harakati za Hip Hop zinavyotambulishwa kufanyika maana nyingi vitendo na uhalisia ni tofauti.

Matokeo yake wanatengenezwa mashabiki wa wanaojiita wana Hip Hop na sio mashabiki wa Hip Hop yenyewe na kila kilichomo.

Tukija katika hizi DISS TRACK Zinazoendelea kutoka juu ya WAFUASI WA WEUPI NA WA TAMADUNI MUZIK au WA KIKOSI KAZI. Hii yote ni zao la mashabiki wengi kutokuijua Hip Hop zaidi ya qanabaki kushabikia hao wanaHip Hop.

Kitu Kikubwa na Chakukikazia ni Namana Gani au nini maana ya nguzo ya Hip Hop ya MAHARIFA inavyoweza kuwasilishwa katika utamaduni wa Hip Hop.

Kwa upande wangu nimeweza kumuelewa ODWANG ODWA zaidi na nadhani DissHii ilikua iishie kwake, jaribuni kumsikiliza tena... Ukija kwa Motra bila kuathiri uandishi na upangaji wa maneno, ila Track yake ilihitaji majibu na ndio kinachofanyika ila je anajibiwa yeye au hoja zake.?

Hip Hop ya Bongo hata Niki Mbishi akimuandikia mashahiri dogo janja, yataonekana hayana vigezo vya Hip Hop labda mwandishi ajulikane ni nani? Ndipo tulipo.

Hip Hop sio RAP na Upangaji wa maneno pekee, MASSAGE ndio kila kitu hata ikiwasilishwa kwa maongezi... Harakati hazikua zakupigania haki za kupangilia maneno na vina katika Rap bali ni ukombozi na kila mtu kwa nafasi yake alitumia style yake iwe kwa kucheza, kuchora na kuandika kwenye kuta Madai ya haki zao na hawakuandika Hip Hop Never Die.

Hoja nyingi zinaonesha Motra hajafanya Hip Hop kutokana na kutokujua kuiandika na kuipangilia...

SWALI LANGU, KULIKUA NA ULAZIMA GANI WA KUJIBU MAKOSA?

TRACK YA MOTRA ILISHAISHA CHAJI WEEK ILEILE ILA KUENDELEA KUIJIBU NI SAWA NA KUANIKA BETRI JUANI.

KNOWLEDGE NDIO KILA KITU KATIKA HIP HOP.
 
Umeandika nini hiki broo,,!?

Yani ni ushauli au maelekezo au ni taarifa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!

Ukizingua unazinguliwa this is hiphop ina cheza kila sehemu[emoji16][emoji16]

Labda ujajua maan ya disstrack,

Ni hivi una disiwa kwa kila kitu hata kama wew ulitoa maelekezo au ushaul
 
Ukweli gani? Kwanini asingepita moja kwa moja hadi atumie mistari mipasho ..mf kumuita mchizi wife, sijui nini mabwana zako ..huoni kma ni mipasho Hiyo?

Jamaa kadhihirisha ana mawenge atulize akili ajib diss ya Motra
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mamaqee chizi wenu kapotezwa mbayaa

Yani ile distrack sio imediss tu, ime mdharilisha dogo aka chali yenu chugan housegirl , imemvua kila kitu.

This is hip hop,,ina touch in every thing.
 
Back
Top Bottom