Motra the future na Diss Track dhidi ya Kikosi Kazi awaita kikosi kazi WEUPE

Kikosi Kazi hawawezi kumjibu Motra,,,Wamjibu aringe??..Kashajibiwa na Muhindi koko(Mex)
 
kwani swala la WEUSI kubebwa na media ni uwongo?

Unawafahamu wakali wa media?

Kuna watu waliajiriwa kwenye kitengo cha wakali wa media yani zile message ambazo wadau wanatuma ili ku request ngoma zipigwe zilikua zinawafikia wao.

Hata nyimbo ikiwa requested mara 100 wale majamaa walikua wanabania kuicheza, kwa mtu yeyote anayejua hip hop hawezi kuwafananisha kiuwezo kikosi kazi na weusi
Tamaduni wafanye muziki waache ujinga. Hawa jamaa nimewaafuatilia toka wanaanza.

Maisha yanaenda... Dunia imebadilika punchline au OGs haina maana yoyote kwenye muziki kwasasa.

Neno kubebwa ondoa kwenye msamiati wako. Media zipo kibao sikuhizi....Ni aibu kwa msanii kama Nikk anayekaribia miaka 15kwenye muziki kulialia kubebwa...

Muziki wanaofanya ni wa wahuni wa mtaani na vijana wanaomaliza balehe. Ukishabalehe tu hata hawasikiliziki.
 
Mkuu unachosahau kua mziki ni kipaji, na sio kwasababu una kipaji cha ku rap harcore hip hop basi ukafikiria uki switch to soft utafanya vizuri...Haiwezekani mzee

Unaposema kwamba mziki umebadilika na mziki ambao uko sokoni kwa sasa ni mziki fulani ambao ni soft, unatakiwa ufikirie ni wasanii wangapi wako mtaani wanaimba huo mziki soft na hawajatoka na wangependa walau kupata hata collabo na hao tamaduni

Neno kubebwa haliwezi kuondolewa kwasababu hakuna namna unaweza kutenganisha kati ya media na "ukanda" pitia reference yangu hapo juu kuhusu wakali wa media

Mzee ni wewe tu jinsi ulivyoamua kuupa tafsiri muziki wa tamaduni kua ni mziki wa wahuni mtaani. Nakupa mfano mmoja wa nyimbo mbili tu, Joh makini kuna nyimbo kaimba "njoo ukaliee njoo ukalie" nyingine kama kundi wameita "mbupu".

Kwako wewe hapo unaona huo mziki unapaswa kusikilizwa na watu wenye heshima kama wazazi wako?
 
Tusiwaongelee weusi maana hakuna sehemu nimesema wanafanya vizuri.

Tusiwe kama mawe sisi ni binadamu tunaotakiwa kubadilisha nyakati na sio kusubiri nyakati zitubadilishe.

Na hili ndilo linalotokea....tunasubiri nyakati zitubadilishe.

Hii sio era ya kulilia media.... Kuna Media kibao sikuhizi. Sio kipindi kile tulikuwa na TBC na Radio Free.

If you have problems with all the media who is a problem now?

Wowowo ilisikilizwa na Kila mtu...je media zipi ziliipromote.

Na unaimba nini? Kizazi Cha sasa kinahitaji good music wa kuwaliwaza baada ya uchovu wa kazi.

Walishe Muziki mzuri midundo mizuri kisha uone kama utalilia media.

Unatikiri leo nitakaa eti nisikilize..Natokea Bongo? What for
 
Nimewaongelea weusi japokua hukuwataja ila ndio wenye tuhuma hizo na hawawezi kuziepuka

Unachotakiwa kutambua mziki ni kipaji, huwezi kumbadilisha mtu kipaji chake akafanye kitu kingine ambacho hakipo kwenye interest yake.

Dizasta vina alizinguana na mameneja kibao kwa ishu hiyo ya kulazimishwa aimbe good music aendane na wakati kitu ambacho hakipo kwenye talent yake.

Nguvu ya media katika kusapoti mziki wa hip hop ya tamaduni ilikua ndogo sana, we unamzungumzia zaiidi na wowowo ya juzi hapo?

Sikubaliani na kauli yako kua kizazi cha sasa kinahitaji good music, hilo ni swala la personal interest na ndio maana kuna msemo unasema ukiona habari hielewi, hjaandikiwa wewe wapo watao ielewa na kuipenda

Hiyo good music unayosema wewe kua ndio mziki unaopendwa kwa sasa, ni wasanii wangapi hata hapo mtaani unapotoka waanimba na hawajatoboa mpaka sasa?

Mpaka leo watu wanakua inspired na mziki wa tupac afu we unasema good music si utani huo?
 
Nakupa miaka kadhaa ....utabadili mawazo.

Nadhani tunakosa motion mover hapa. Mwisho nabaki kuandika vitu kibao.
Nimekupa mfano wa Wowowo tu...hawajaanza kitambo...Ni juzi tu labda inategemea na kitambo kwako Ni lini

Anyway ....Asante nimesoma majibu yako.
 
Mkuu unachosahau kua mziki ni kipaji, na sio kwasababu una kipaji cha ku rap harcore hip hop basi ukafikiria uki switch to soft utafanya vizuri...Haiwezekani mzee

Unaposema kwamba mziki umebadilika na mziki ambao uko sokoni kwa sasa ni mziki fulani ambao ni soft, unatakiwa ufikirie ni wasanii wangapi wako mtaani wanaimba huo mziki soft na hawajatoka na wangependa walau kupata hata collabo na hao tamaduni

Neno kubebwa haliwezi kuondolewa kwasababu hakuna namna unaweza kutenganisha kati ya media na "ukanda" pitia reference yangu hapo juu kuhusu wakali wa media

Mzee ni wewe tu jinsi ulivyoamua kuupa tafsiri muziki wa tamaduni kua ni mziki wa wahuni mtaani. Nakupa mfano mmoja wa nyimbo mbili tu, Joh makini kuna nyimbo kaimba "njoo ukaliee njoo ukalie" nyingine kama kundi wameita "mbupu".

Kwako wewe hapo unaona huo mziki unapaswa kusikilizwa na watu wenye heshima kama wazazi wako?
Umeskiza Hiyo " mbupu" kwa makini? Wewe ndio hujui kitu kabisa.
Nenda kaskize upya #WEUPE ili ufunguke akili ..ngoma imejitosheleza ile. Halafu vaa uusika wa kila mmoja aliyechanwa mule.
#WEUPEE peee
 
Yule muhindi koko amekurupuka, yeye kajibu kama zile battle za majukwaani wakati Motra ameandika uduwanzi unaoendelea pale tamaduni. Kwa ufupi kikosi kazi wamekosa kazi za kufanya. Na suggest huyu dogo arudi kuskiza upya kisha atoe upya tena ngoma ya kumdiss Motra.

Unajua kwanini Motra hajamjibu uyo muhindi? Ni kwa sababu hamuna alichoandika mule.
 
Sema p mawenge Kaleta wenge
sana, naona kampa dogo mzigo sio wa kwake.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom