rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
yes Stan Rhymes katokea rap city battles ambazo watamaduni ndio walikuwa majajiAaah huyo naye balaa nadhani pia n zao la tamaduni....kama sio basi alipatikana kwenye zile city rap battles
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yes Stan Rhymes katokea rap city battles ambazo watamaduni ndio walikuwa majajiAaah huyo naye balaa nadhani pia n zao la tamaduni....kama sio basi alipatikana kwenye zile city rap battles
Motraa katoa diss track kwa kikosi kazi. Hao mbarara wengine haangaiki nao ..Mex cortex kapiga ngumi kavu kavu za uso mchizi motra
Motra hatakiwi kumjibu huyu mchizi, atakuja kufa
Punch za Motraa zinachoma zaidi ya Moto wa pasi aise😂😂😂Crew yenu mnafanana style km mchele wa Basmat View attachment 2042245
Punch za Motraa zinachoma zaidi ya Moto wa pasi aise😂😂😂Crew yenu mnafanana style km mchele wa Basmat View attachment 2042245
Diss ya kikosi kazi kwa weusi unajua ilitoka mwaka gani?Punch za Motraa zinachoma zaidi ya Moto wa pasi aise😂😂😂
Motraa katoa ajira kwa mbarara za kikosi kazi.
SISI MASHABIKI TUNATAKA KIKOSI KAZI WAJIBU HOJA YA MOTRAA siyo hao mbarara
Mex cortex
Ididnt have plan to listen the songs but his reply and your reply have made me to listen the songs....kwasababu kinachotafutwa kwenu ni uhalali wa kusema nani mkali kulingana na jinsi mnavyoujua muziki. Sijakaa na Zavara wala sijawai kwenda Msasani Kiingeni. Ila nimekuwa mfatiliaji wa hiphop for sometimes now hasahasa ktk muktadha kama huu wa kujua Nani mkali kwa uandishi, flow na punch. NutarudiChief nimeishia kusoma hapo uliposema umeanza kufatilia mziki mwaka 2000 [emoji23]
Ur still a junior. Mimi nakaa meza moja na Chief Ramson( nowdays anajiita Zavara) yani mc Zaiid nimemuona akizaliwa.
Reference yako ya kina juma nuture na kina inspector Haroun ni expirience ya juzi kabisa bado hainipi sababu ya kukuamini kuwa wewe ni mkali kuliko Motra otherwise weka ngoma yako hapa.
Kusoma vitabu vya mashairi ni jambo moja, na kuyachana hayo mashairi ni jambo lingine.
Kubali-kataa dogo amewachana kwa akili na style kali sana hao mabraza zako na mmeumia kweri-kweri.
Huyu motra labda mumjibu kwa albam mzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekupa like baada ya kuisikiliza nyimbo ya amkia.Mwenye hulka ya atakayeiona kwake mambo hayajakaa sawa anakuchana ni Mbishi tu.
Songa hizo hana anafanya mziki wake na mambo yake.
Uno hana anafanya mziki wake na mambo yake.
Mansulii hana haya mambo anafanya mziki wake na mambo yake. Tena Mansulii anafanya Mziki tangu 2003 Sinza. Ushawahi msikia akimsema mtu zaidi ya C Pwaa kusema walichukua biti yake ya Pwaa!
Stereo anafanya mziki wake. Ukimzingua naye anakuchana ila mpaka umzingue.
Azma na wengineo akina Zaaid vivyo hivyo!
Waliyoanza kuwachana ni WEUSI wao wamemalizia kazi tu kama hujui..
Wewe Uarusha unakusumbua tu! Kwani ni nani asiyewajua watu wa Arusha? Mna Usisi. Sina haja ya kukuwekea mashairi ya Mex hapa! Kama watu ambao wapo kwenye hii tasnia ukikaa nao wanasema Mex kaua we nani? Zaidi ya kuleta Uarusha tu?
Eti nini? Hana info za kutosha kuhusu mpinzani wake? Mex kamchana King B Swag wa Sierra Leone (diss track) na jamaa alikaa! Motra yeye nani? Hata kwenye interview Mex àliulizwa swali hili. Jawabu lake ni rahisi tu, ajibu halafu aone kitakachomjia. Yeye Motra si ni mkali? Asiishie kujibu kwenye interview yeye ajibu diss track ya Mex.
Na hakuna aliyepanick. Dogo Amkie..
Kingine sina muda wa kuweka mashairi mzee ila nikikaa namkalisha Vizuri tu Motra.
Na hii inathibitisha wengi hawajui muziki.Hamna best diss hapo
Hawezi...he is up for commercial not for bars don't waste your time discussion a deuche like MontraKama anamuona motra ni mkali basi aje humu tu battle kwa freestyle tuone kama hatujamkalisha
Mex kaua na motra akijitusu kujibu tu amekwishaaa, nilimsikia kwenye interview yake jana mpaka anajichanganya, mwanzo alisema kawa inspired na tamaduni music baadaye akakanusha
mkuu bado naisubiri trap ya Nas na Krs Onekulingana na utafiti uliofanyika Hivi majuzi, #WEUPE ni diss track inayojitegemea yenyewe. Kilichoimbwa mule hakiitaji nyongeza yeyote Yani mzigo umekamilika kwa 100% ..
Hizi mbarara nyingine zinazopiga kelele zinatafuta pa kutokea kupitia hii ngoma ya #WEUPE.
Hizi ni taarifa za ndani kabisa kutoka kwenye intelijensia yangu.
#NorthZoneforRealHipHop[emoji123][emoji123]
kwenye freestyle jamaa yuko poa sana,Ila kurekodi sidhani kama atatoboacado nondo ni street rapper ambaye yuko solo, japo kwenye makamuzi ya freestyle namuona mara kwa mara na frege
Jamaa ni mkali wa freestyle ila sio mwandishi, ngoma zake alizoandika binafsi sizielewikwenye freestyle jamaa yuko poa sana,Ila kurekodi sidhani kama atatoboa
Yah jamaa wakuzingatiwa sana anaflow nzuri pia hata kuandika yuko vizuriMex nae tunatakiwa kumzingatia sana sio mtu mzuri kwenye Rap naona sasa tunakwenda kupata ladha ya rap za kiushindani kama zamani. Maana watoto walianza kujichetua na trap zao za uongo na kweli
Mm binafsi huwa namwogopa na namuheshimu sana Rapper mwandishi mfano marehemu LANGA jamaa alikuwa anaandika vizuri mno ni marapa wachache wanaoweza kufreestle na kuandika vizurJamaa ni mkali wa freestyle ila sio mwandishi, ngoma zake alizoandika binafsi sizielewi
Ngoma zake kazipa majina ya ajabu ajabu kuna moja inaitwa "acha kujilimbwasa"