Mkuu unachosahau kua mziki ni kipaji, na sio kwasababu una kipaji cha ku rap harcore hip hop basi ukafikiria uki switch to soft utafanya vizuri...Haiwezekani mzee
Unaposema kwamba mziki umebadilika na mziki ambao uko sokoni kwa sasa ni mziki fulani ambao ni soft, unatakiwa ufikirie ni wasanii wangapi wako mtaani wanaimba huo mziki soft na hawajatoka na wangependa walau kupata hata collabo na hao tamaduni
Neno kubebwa haliwezi kuondolewa kwasababu hakuna namna unaweza kutenganisha kati ya media na "ukanda" pitia reference yangu hapo juu kuhusu wakali wa media
Mzee ni wewe tu jinsi ulivyoamua kuupa tafsiri muziki wa tamaduni kua ni mziki wa wahuni mtaani. Nakupa mfano mmoja wa nyimbo mbili tu, Joh makini kuna nyimbo kaimba "njoo ukaliee njoo ukalie" nyingine kama kundi wameita "mbupu".
Kwako wewe hapo unaona huo mziki unapaswa kusikilizwa na watu wenye heshima kama wazazi wako?