Unaongea pumba nani A town anaweza lazi lyrics kama stereo nikki wa pili au unafikiria kwa kutumia makalio watu wazima kina chindo jcb Wana respect kwa nikkiNikk ni MC mkali Nina album zake kadhaa naskizaga ni hatari tupu Ila anaharibu sana ana kipaji Ila anajiona yeye ndio Bora zaid na hiyo ndiyo ujinga wake. Amekuwa na mipasho mingi Hadi Roma kamchana afanye mziki muda unakwenda na wakati wake utapita.
NB: Ni ngumu Sana kwa watu wa A Town kuyielewa hip-hop ya Dar kwa sababu ni vitu viwili tofauti kabisa.
Hip-hop ya Dar ni soft mnoo..
Hip hop ngumu ya arusha wabaimba wale madogo wa kimbao mbao kanenepa wale comedian [emoji16]Hip hop ya dar ni soft?
Kama anayoimba nani?
Na hiyo hip hop hardcore ya arusha inaimbwa na nani?
Kameuza sura ngoma ya AMKA MTANZANIA KACHAFU LEO KANA DISS
Mashoga haoHuwajui watu wa Arusha kwa kujikuta wao ndio wana Hip hop haswaaaa Tanzania nzima, kumbe wanaimba mashudu tu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kikosi kazi ni WEUPENdiyo wanafanya kwajiri ya mtaa nyie mnatoa ngoma naDavido lakini inakuwa kama hakuna kilichotokea shameful
Acha ushamba wewe unayijua hip hop kwanza. Usikute nabishana na mzaramo hapaUnaongea pumba nani A town anaweza lazi lyrics kama stereo nikki wa pili au unafikiria kwa kutumia makalio watu wazima kina chindo jcb Wana respect kwa nikki
Hiyo hip hop mipasho ndiyo ufananishe ya Arusha hahahaha ..nyie machali wa dar mnafeli sana hahahaHip hop ya dar ni soft?
Kama anayoimba nani?
Na hiyo hip hop hardcore ya arusha inaimbwa na nani?
Wewe ndo unaonesha ni jinsi gani ulivyo MWEUPE ..achana na hizi mambo maana hujui kituKina chindo baba zao na joh
Diss Track ya MOTRAA ni the Best Diss haijawahi tokea hapa bongo.
Labda ile ya Roho Saba vs Fid Q ndo inayofuatia.
Hapa bila kupepesa macho kikosi Kazi wamepatwa na mhaho hawajui wajibu nini.
Jana nimepita kwenye page ya Niki mbishi naporomosha tu matusi hahahaha
Mtu akishasema mhamu tu namjua ni shoga kama baba levoDiss Track ya MOTRAA ni the Best Diss haijawahi tokea hapa bongo.
Labda ile ya Roho Saba vs Fid Q ndo inayofuatia.
Hapa bila kupepesa macho kikosi Kazi wamepatwa na mhaho hawajui wajibu nini.
Jana nimepita kwenye page ya Niki mbishi naporomosha tu matusi hahahaha
Au hata chindo haumjuiWewe ndo unaonesha ni jinsi gani ulivyo MWEUPE ..achana na hizi mambo maana hujui kitu
"una like funny page ya msanii ili mtukane"Mtu akishasema mhamu tu namjua ni shoga kama baba levo
Nikki bora awapige block una like funny page ya msanii ili mtukane
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Diss kwa Incredible imeiuma sana tena mnoWadau na wapenzi wa hip hop kuna habari mpya inayo trend kwa sasa baada ya lile kundi la mziki wa hip hop (Kikosi Kazi) kutangaza battle na kundi au mtu yeyote hatimaye juzi ya tarehe 3 msanii wa Hip Hop motra the future kaja kujibu diss ya kikosi kazi kwa niaba ya weusi.
Nanukuu mistari ambayo imewagusa direct member wa kikosi kazi
Zaiid
Hii Dunia Ukitumia Wakati wako Vizuri Lazma Mambo Itajipa, Naongea Na Sad Generation Yenye Happy Pictures.../
Ukijiona Zaidi Fanya Ya Zaidi Kwa Uhakika, ili usidate hata Kama Wowowo Haijakulipa.../
Songa & Stereo
sawa Unaweza ukasonga bila fm walla stereo, ila Uwe na Juhudi , Mungu na kutumia akili.../
yooh ni kuchapa kazi kwa maadili, u pay mabill bro.../
Mansuli A.ka Sinza star
siwezi kuwa sinza star tu na kuna The bigg world Msione nimetulia mkafikiri mi ni kiande.../
mnataka kuharibu shughuli , kisa mmeona mambo pambe.../
hii ni keki ya taifa kila mtu ana kipande kwenye shamba la Upendo mwana Chuki usizipande.../
One the Incredible a.k.a Uno
wakati nyie mna hate wenzio wanavuka ma border, mnageuka misukule na hakuna aliyewaloga.../
Na kama unaleta ubishi na wakati hauna hoja, utabaki unajiita uno na hauwezi kuwa namba moja.../
Azma
Joh hawezi shuka eti kwa kupondwa na azma, mtu ambaye anaforce miaka kumi kutoka kwa lazma.../
Crew yenu mnafanana style kama mchele wa basmat, Ushafeli weka nguvu sasa kuikuza aznas.../
P-Mawenge
Ma Sean P wa Bongo na hamuafford kwa P funky, kwa Vile mmeleta mawenge tena kwa hii chance.../
Na sisi hatuwezi kuwapa uboy kwa hii country.../
Ila jamaa kapiga diss ya kibabe kidogo japo sijaona punchlines zinazomlenga nikki mbishi na kama zipo basi ni zile soft. Ngoja tuone hii battle itaendaje endaje maana kikosi kazi kwa kumlipua mtu wako vyema, weusi walisana
Angalia ulivyo fala una panick Kama Bwana ako Nikk mbishi, jibu hoja acha ufala..πππMtu akishasema mhamu tu namjua ni shoga kama baba levo
Nikki bora awapige block una like funny page ya msanii ili mtukane
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Chindo nimeishi naye mtaa wee chali
Yeah aliimba Rado acha uboya wee chaliiAcha uboya wewe chalii , inaonekana kabisa hufuatilii miziki ile diss kaimba RADO