Motra the future na Diss Track dhidi ya Kikosi Kazi awaita kikosi kazi WEUPE

Motra the future na Diss Track dhidi ya Kikosi Kazi awaita kikosi kazi WEUPE

Nikk ni MC mkali Nina album zake kadhaa naskizaga ni hatari tupu Ila anaharibu sana ana kipaji Ila anajiona yeye ndio Bora zaid na hiyo ndiyo ujinga wake. Amekuwa na mipasho mingi Hadi Roma kamchana afanye mziki muda unakwenda na wakati wake utapita.

NB: Ni ngumu Sana kwa watu wa A Town kuyielewa hip-hop ya Dar kwa sababu ni vitu viwili tofauti kabisa.
Hip-hop ya Dar ni soft mnoo..
Unaongea pumba nani A town anaweza lazi lyrics kama stereo nikki wa pili au unafikiria kwa kutumia makalio watu wazima kina chindo jcb Wana respect kwa nikki
 
Unaongea pumba nani A town anaweza lazi lyrics kama stereo nikki wa pili au unafikiria kwa kutumia makalio watu wazima kina chindo jcb Wana respect kwa nikki
Acha ushamba wewe unayijua hip hop kwanza. Usikute nabishana na mzaramo hapa
 
Hip hop ya dar ni soft?

Kama anayoimba nani?

Na hiyo hip hop hardcore ya arusha inaimbwa na nani?
Hiyo hip hop mipasho ndiyo ufananishe ya Arusha hahahaha ..nyie machali wa dar mnafeli sana hahaha
 
Diss Track ya MOTRAA ni the Best Diss haijawahi tokea hapa bongo.

Labda ile ya Roho Saba vs Fid Q ndo inayofuatia.

Hapa bila kupepesa macho kikosi Kazi wamepatwa na mhaho hawajui wajibu nini.

Jana nimepita kwenye page ya Niki mbishi naporomosha tu matusi hahahaha
 
Acha uboya wewe chalii , inaonekana kabisa hufuatilii miziki ile diss kaimba RADO
Diss Track ya MOTRAA ni the Best Diss haijawahi tokea hapa bongo.

Labda ile ya Roho Saba vs Fid Q ndo inayofuatia.

Hapa bila kupepesa macho kikosi Kazi wamepatwa na mhaho hawajui wajibu nini.

Jana nimepita kwenye page ya Niki mbishi naporomosha tu matusi hahahaha
 
Mimi ni mdau wa hip hop naupenda Sana huu mziki japo sijui kuuimba kuhusu battle la weusi na kikosi kazi ni kuchangamsha gemu tu ila wote ni wakali kikosi kazi kuna rap giniazi Kama vile one incredible na Nikki mbishi nasalute kwa hawa jamaa wanajua Sana kurap

Changamoto yao kubwa wameshindwa kubadilisha vipaji vyao kua opportunity wamebaki tu kua wakali wa rap

Weusi ni Kati ya kundi Bora la hip hop kuwahi kutokea tz wako smart Sana kuanzia management life style na makila kitu wameweza kubadili vipaji vyao kua fursa wameweza kuingia sokoni na kulisoma soko lipoje wamekuja na rap yao ambayo wengi wananiita soft unakuta nyimbo zinapigwa club na watu wanavaibu imewasaidia Sana kupiga hatua kimaisha

Kuhusu diss track ya Motra na cotex Motra kapiga Sana bars mle ndani nazani ilichangiwa na maandalizi kotex kaflow kawaida Sana nazan pia alijibu kwa haraka sana sababu kotex nae no rapa mzuri Sana nimemfatilia Sana kwenye castle lite unlock jamaa ana flow Kali Sana

By the way tamaduni Kuna vichwa vikali Sana I appreciate ila wajitahidi Sana hivyo vipaji vyao vigeuke kua fursa kwao Kamailivyo kwa weusi
 
Diss Track ya MOTRAA ni the Best Diss haijawahi tokea hapa bongo.

Labda ile ya Roho Saba vs Fid Q ndo inayofuatia.

Hapa bila kupepesa macho kikosi Kazi wamepatwa na mhaho hawajui wajibu nini.

Jana nimepita kwenye page ya Niki mbishi naporomosha tu matusi hahahaha
Mtu akishasema mhamu tu namjua ni shoga kama baba levo


Nikki bora awapige block una like funny page ya msanii ili mtukane

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Wadau na wapenzi wa hip hop kuna habari mpya inayo trend kwa sasa baada ya lile kundi la mziki wa hip hop (Kikosi Kazi) kutangaza battle na kundi au mtu yeyote hatimaye juzi ya tarehe 3 msanii wa Hip Hop motra the future kaja kujibu diss ya kikosi kazi kwa niaba ya weusi.

Nanukuu mistari ambayo imewagusa direct member wa kikosi kazi

Zaiid

Hii Dunia Ukitumia Wakati wako Vizuri Lazma Mambo Itajipa, Naongea Na Sad Generation Yenye Happy Pictures.../
Ukijiona Zaidi Fanya Ya Zaidi Kwa Uhakika, ili usidate hata Kama Wowowo Haijakulipa.../

Songa & Stereo
sawa Unaweza ukasonga bila fm walla stereo, ila Uwe na Juhudi , Mungu na kutumia akili.../
yooh ni kuchapa kazi kwa maadili, u pay mabill bro.../

Mansuli A.ka Sinza star

siwezi kuwa sinza star tu na kuna The bigg world Msione nimetulia mkafikiri mi ni kiande.../
mnataka kuharibu shughuli , kisa mmeona mambo pambe.../
hii ni keki ya taifa kila mtu ana kipande kwenye shamba la Upendo mwana Chuki usizipande.../

One the Incredible a.k.a Uno
wakati nyie mna hate wenzio wanavuka ma border, mnageuka misukule na hakuna aliyewaloga.../
Na kama unaleta ubishi na wakati hauna hoja, utabaki unajiita uno na hauwezi kuwa namba moja.../

Azma
Joh hawezi shuka eti kwa kupondwa na azma, mtu ambaye anaforce miaka kumi kutoka kwa lazma.../
Crew yenu mnafanana style kama mchele wa basmat, Ushafeli weka nguvu sasa kuikuza aznas.../

P-Mawenge
Ma Sean P wa Bongo na hamuafford kwa P funky, kwa Vile mmeleta mawenge tena kwa hii chance.../
Na sisi hatuwezi kuwapa uboy kwa hii country.../

Ila jamaa kapiga diss ya kibabe kidogo japo sijaona punchlines zinazomlenga nikki mbishi na kama zipo basi ni zile soft. Ngoja tuone hii battle itaendaje endaje maana kikosi kazi kwa kumlipua mtu wako vyema, weusi walisana
Diss kwa Incredible imeiuma sana tena mno
 
1639039400832.png
 
Back
Top Bottom