Mount Kenya inaonekana kutoka Nairobi

Sasa kitu tunachostahili kufanya ni kupiga picha kama hii lakini ya mount Kilimanjaro na kutuma picha hiyo kwa wazungu na kuwaambia waje Kenya kutazama Mount Kilimanjaro na mount Kenya kwa pamoja. 😉😁😁😁
 
Tony umesema ukweli kuwa huwa mnawaambia mabeberu njoo Kenya uone mlima Kilimanjaro. Basi ile ndege mliyong'oa viti virudisheni ibebe abiria maana watalii wataongezeka.
 
Sasa kitu tunachostahili kufanya ni kupiga picha kama hii lakini ya mount Kilimanjaro na kutuma picha hiyo kwa wazungu na kuwaambia waje Kenya kutazama Mount Kilimanjaro na mount Kenya kwa pamoja. 😉😁😁😁
😀😀😀😀
 
Sasa kitu tunachostahili kufanya ni kupiga picha kama hii lakini ya mount Kilimanjaro na kutuma picha hiyo kwa wazungu na kuwaambia waje Kenya kutazama Mount Kilimanjaro na mount Kenya kwa pamoja. 😉[emoji16][emoji16][emoji16]
Angalia huo mlima uko wap....!! Najua ramani hujawai jua kusoma au huko KenChina hakuna somo la geography

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…