Mount Kenya inaonekana kutoka Nairobi

Mount Kenya inaonekana kutoka Nairobi

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Kwa sababu magari hayapo barabarani na industries nyingi hazifanyi kazi, hewa imekuwa safi hadi mtu anaweza kuiona mount Kenya kutoka Nairobi. Tazama picha

EVVTiiJXYAEK5bw.jpeg
EWFO7kYUEAE3P1d.jpeg
EWFO7oIU4AQg6eZ.jpeg
EWFPStUU0AA12Tv.jpeg
 
Sasa kitu tunachostahili kufanya ni kupiga picha kama hii lakini ya mount Kilimanjaro na kutuma picha hiyo kwa wazungu na kuwaambia waje Kenya kutazama Mount Kilimanjaro na mount Kenya kwa pamoja. 😉😁😁😁
 
Tony umesema ukweli kuwa huwa mnawaambia mabeberu njoo Kenya uone mlima Kilimanjaro. Basi ile ndege mliyong'oa viti virudisheni ibebe abiria maana watalii wataongezeka.
 
Sasa kitu tunachostahili kufanya ni kupiga picha kama hii lakini ya mount Kilimanjaro na kutuma picha hiyo kwa wazungu na kuwaambia waje Kenya kutazama Mount Kilimanjaro na mount Kenya kwa pamoja. 😉😁😁😁
😀😀😀😀
 
Sasa kitu tunachostahili kufanya ni kupiga picha kama hii lakini ya mount Kilimanjaro na kutuma picha hiyo kwa wazungu na kuwaambia waje Kenya kutazama Mount Kilimanjaro na mount Kenya kwa pamoja. 😉[emoji16][emoji16][emoji16]
Angalia huo mlima uko wap....!! Najua ramani hujawai jua kusoma au huko KenChina hakuna somo la geography
images%20(92).jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom