Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Wewe umeuliza swali la maana inaweza kuwa ni maoni ya mtoa mada mwenyeweMkuu tuwekee reliable source ya hayo maneno aliyo yasema Mourinho kabla hatujachangia uzi.
Matokeo yake USA imefutwa na Belgium. Kupindisha HAKI hakuna mwisho mwema. Ukipindisha HAKI unachokihofia ndicho kitakachokukuta!Kombe hili la dunia ukifuatilia tangu mwanzo yaani mtu ukiguswa kawaida ukajiangusha hakuna anayekujali. Yaani mtua anaanguka refa anasonga. Hadi iwe faul ya Filimbi inabidi ufanye kosa Zito.
Ila sio kwa Messi. Cabo Verse aliguswa kidogo tu nje ya 18 filimbi ikalia mara mbili. Nimeona tofauti kubwa sana.
Sijawahi kuona tangu nizaliwe mtu kafanyiwa faulo tena ameamka na mechi inaendelea baada ya goli tu dakika zimepita inakumbukwa na goli linafutwa.
Mtu kapigwa red ( US) Trump anashawishi ifutwe na inafutwa.
Shabiki wa Ronaldo huyu!.Mkuu tuwekee reliable source ya hayo maneno aliyo yasema Mourinho kabla hatujachangia uzi.
José Mourinho on Hossam Hassan's claim that Argentina were favoured because of World Cup marketing:View attachment 3624817
Kocha nguli wa soka duniani, José Mourinho, amebatiza mchezo wa ushindi wa mabao 3-2 wa Argentina dhidi ya Misri kuwa ni "filamu iliyoandaliwa matokeo tangu mwanzo," akilalamikia vikli maamuzi ya marefa na chumba cha VAR yaliyowaumiza Farao hao wa Misri. Mourinho amefunguka kwa hisia kali akidai kuwa mchezo huo haukuwa wa haki na kwamba Misri haikupoteza kwa sababu ya soka, bali kwa sababu ya "script" (maandishi) ya mashindano hayo yanayobeba upendeleo kwa upande mmoja.
Katika uchambuzi wake, Mourinho alifafanua jinsi maamuzi kadhaa ya utata yalivyopindua mchezo huo ambao Misri iliongoza kwa mabao 2-0 mapema, akitolea mfano pale nahodha Mohamed Salah aliponyimwa faida ya kufunga goli, huku beki Cristian Romero akifanya madhambi mabaya yaliyotaka "kuuvunja mguu wa Salah vipande viwili" bila kupewa kadi yoyote. Zaidi ya hayo, alilalamikia VAR kurudisha nyuma mchezo "hadi zama za mawe" ili tu kutafuta kisingizio chochote cha kufuta goli la Misri, sambamba na kunyimwa penati ya wazi ya dakika ya 93 baada ya Salah kuangushwa ndani ya boksi.
Tukio hilo la mwisho lilitoa mwanya kwa Argentina kufanya shambulizi la kushtukiza lililomwezesha Enzo Fernández kufunga bao la ushindi, jambo lililomfanya Mourinho kuhitimisha kwa hasira: "Unapocheza dhidi ya hii timu ya Argentina, kuwa mbele kwa mabao 2-0 haitoshi, kwa sababu haujaribu tu kuwafunga wanaume 11 uwanjani. Unajaribu kuishinda filimbi. Unajaribu kuishinda chumba cha VAR. Unajaribu kushinda 'script' nzima ya mashindano. Huu sio mpira wa miguu tena. Ni filamu, na mwisho wake umeshapangwa kabla hata wachezaji hawajatoka kwenye koridoro kuelekea uwanjani."
Vipi kuhusu Portugal ya Cr7 wao sio wa muhimu kwa FIFA kwenye World Cup marketing?José Mourinho on Hossam Hassan's claim that Argentina were favoured because of World Cup marketing:
Mourinho, ambaye alizaliwa Januari 26, 1963 katika mji wa Setúbal nchini Portugal.View attachment 3624817