hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Achana nae huyo Akili yake ina matege 😁😁😄Next match tutakupa filimbi wewe mkuu maan sio kwa chuki hizo yaani mtu anaongoza chuma 2 anashindwa kushikilia bomba the same kwa Senegal unaongoza chuma 2 zinarudishwa ndani ya dakika 2 na jana hivo hivo yaani kiujumla hii shida kwa timu za kiafrika
Usiendeshwe na hisia mkuu