Mourinho: Mechi ya Misri na Argentina ilikuwa filamu

Naona uko kinyume na walimwengu wengine.
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡Just to connect you into discussion.

Mimi nimezurula huko kote Kuna wanao lalamika kuwa Argentina kabebwa na Kuna tunao Ona kwamba haijabebwa so na ndio maisha ya livyo Kwa ile comeback it's something haters they shouldn't expect so ni lazima walalamime Tena saana

Yaani unakuta mtu ana lalamika hata Kwa VAR kufanya kazi yake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Imagine lile goli lililo kataliwa it was clear foul they still Kuna watu wanalalamika kuwa goli lililo kataliwa lilikuwa la halali

Hence what I learned katika huu ulimwengu huwezi mridhisha Kila mtu
 
Na bado Penaldo fans and co mtalia sana na kusaga meno.

Yani we semenya loose Nut na mapoumbou yako mawili jana umeingia banda umiza hapo udindivu kuishangilia misri kuitoa Argentina.

Umebugi sana.
Hahahahahaaaaa dogo Semenya wa ukaldayo wee acha tu nilienda kulala nina ghazab ya haatarii.

Simpendi Messi tu toka zamani na hilo linchi lao la kibaguzi.
 
Messiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
What a strike ๐Ÿ™Œ

What a beautiful goal and fantastic magical gaol from Lionel Messi

He's God of football he's amazing he's genius, this is Unbelievable this is astonishing beautiful

Maneno ya commentators hayo yaani commentators huwaga mpaka wanatoa machozi kwaajili ya mabao ya Messi ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Halafu mtu yupo huku kimbiji na ileje anaupinga uwezo wa messi

You guys mna utapia mlo sio Bure ,
 
Mbona haujaandika source ya taarifa yako ni ipi?
 
Mguu ulikwatuliwa kabla ya kuugusa mpiraView attachment 3624890
Mguu ukwatuliwe vipi kabla ya kugusa mpira?

Acha uongo; mguu wa mchezaji wa Argentina ulianza kuugusa mpira ndio maana mpira ukaondoka kwenye himaya ya Salah, hapo ndipo jamaa yenu alipoamua kujiangusha.

Na hii tabia ya kujiangusha amekuwa nayo hata akiwa Uingereza kwenye EPL.
 
Mpira una Level Tatu za Kuuangalia:
SHABIKI
MCHAMBUZI -- MKOSOAJI.
MENEJA.

Nyongeza Level ya Mpanga matokeo.
Hao wawili wa Juu hawana tofauti na Muha ni wabishi mnoo.
 
Yeah yeah hahaa refer akampuuza
 
๐Ÿšฎ
 
Mourinho, ambaye alizaliwa Januari 26, 1963 katika mji wa Setรบbal nchini Portugal.
Kwahiyo yote aliyo ongea ni utumbo na maumivu tu na chuki zimemjaa kwasababu mzee mwenzake penaldo kafeli WC
Simba wamenyea nyumba ya yanga huko!
 
Zara boy passe the weed, i'm about to say some real shit nigga!
 
Mac alifashika mtu shati kwenye penati box refa kapeta oya Argentina ni timu ya fifa nimeamini kwa mechi ya jana
Refa hatoi kadi misri akifanyiwa faulo,refa hataki kujiridhisha kwny VAR Salah alivyo fanyiwa faulo ya wazi
 
Mleta hajitambui kabisaa anaona kama yeye mwenyewe ndie alikuwa anaangalia mpira kiufupi hizi ni akili za kushikiwa
 
Mac alifashika mtu shati kwenye penati box refa kapeta oya Argentina ni timu ya fifa nimeamini kwa mechi ya jana
Refa hatoi kadi misri akifanyiwa faulo,refa hataki kujiridhisha kwny VAR Salah alivyo fanyiwa faulo ya wazi
Next match tutakupa filimbi wewe mkuu maan sio kwa chuki hizo yaani mtu anaongoza chuma 2 anashindwa kushikilia bomba the same kwa Senegal unaongoza chuma 2 zinarudishwa ndani ya dakika 2 na jana hivo hivo yaani kiujumla hii shida kwa timu za kiafrika

Usiendeshwe na hisia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ