Achana nae huyo Akili yake ina matege 😁😁😄Next match tutakupa filimbi wewe mkuu maan sio kwa chuki hizo yaani mtu anaongoza chuma 2 anashindwa kushikilia bomba the same kwa Senegal unaongoza chuma 2 zinarudishwa ndani ya dakika 2 na jana hivo hivo yaani kiujumla hii shida kwa timu za kiafrika
Usiendeshwe na hisia mkuu
Hizo ni mistake kwny mpira hata ureno kafungwa dakika ya 91+ nanyeye utasemaje?Next match tutakupa filimbi wewe mkuu maan sio kwa chuki hizo yaani mtu anaongoza chuma 2 anashindwa kushikilia bomba the same kwa Senegal unaongoza chuma 2 zinarudishwa ndani ya dakika 2 na jana hivo hivo yaani kiujumla hii shida kwa timu za kiafrika
Usiendeshwe na hisia mkuu
Ndio weye hata akitetewa baba yako na jurani unasema baba yako ni mshamba kajitakia. Akili za kisoda uliokuwa nazoMou ni mreno, tunatambua maumivu Yao!
Hiyo ya ureno kufungwa dakika ya 90'+1 ni scenario mbili tofauti mwingine kafanyiwa comeback ya chuma 2 alafu unakuja kuifananisha na ureno kufungwa hivi unashirikisha ubongo wako wakati unatoa hoja au unaandika tuHizo ni mistake kwny mpira hata ureno kafungwa dakika ya 91+ nanyeye utasemaje?
Refa na VAR wamezingua, Argentina kabebwa
nikawaida rejea UEFA 2005 fainal,WC 2022.Hiyo ya ureno kufungwa dakika ya 90'+1 ni scenario mbili tofauti mwingine kafanyiwa comeback ya chuma 2 alafu unakuja kuifananisha na ureno kufungwa hivi unashirikisha ubongo wako wakati unatoa hoja au unaandika tu
Come back kwny game
nikawaida rejea UEFA 2005 fainal,WC 2022.
Hujui mpira come back kwny mpira ni kawaida sana kutokea!Kawaida nini umeelewa hata nilichokuwa nalitolea ufafanuzi
Bado hujaelewa kitu tunachobishanaHujui mpira come back kwny mpira ni kawaida sana kutokea!
Sasa ya ureno na spain ni comeback 👀loopholeHujui mpira come back kwny mpira ni kawaida sana kutokea!
Poa poa tumekusikia. Haya turudi kwenye mada husika.Mou ni mreno, tunatambua maumivu Yao!