Hii ndio scenarioninayoiombea itokee,si kwa sababu siipend nchi yangu, bali ifungue macho ya viongozi/wabunge wetu kuona wapi tunakwenda. Sasa hivi ni tabu rais wa zanzibar kuhudhulia vikao vya baraza la mawaziri mwenyekiti akiwa si rais. Je rais wa Zanzibar chini ya chama cha upinzani ataona sababu yeyot ya maana kuhudhuria vikao hivyo? tutamlaumu akikataa, lakini mazingira ya ushirikiano kwa sasa uanategemea CCM kushinda pand zote, na ndio maana muafaka hautekelezeki na CCM watafanya kila ujuvi ili washinde Zanzibar. Losing will be too bitter a pill to swallow.