Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

we nawe usituletee hzo pumba tupa kule
pumba gani .. hii ni kuonyesha sisi wazanzibari tuko ahead ya game hii.. tunawaburuza kiakili mpaka kimawazoo.. tumeongealea haya mambo kipindi than mnajitia tia mida hii.. tuma tuma tuu kama kawaida yetu.......bodi kubwa akili ndogo.. buruza kuleeeeeeeee
 
Ndugu watanzania kuna swala muhimu lakini kwakuwa si la watanzania wote kwa mojakwamoja bali linamgusa kwanmna nyingine.(ndugu au rafikiyo).

Katiba yetu haimpatii mtanzania kuoa nje au kuolewa nje na kuja kuishi nyumbani na mwenzi wako mpaka ulipe tozo za serikali.inamanisha ili mkeo au mumeo aweze kuishi hapa tanzania unatakiwa kumlipia pesa za kigeni dollar 550 kupata kibali cha kuishi kwa miaka miwili tu na bila kufanya kazi wala kuzalisha chochote.maana sheria hamruhusu kufanya shuguli ya kipato chochote.na kuomba uraiya ni usd 5000 sawa na shilling milioni nane.je ili kuoa nje au kuolewa ni haki ya matajiri na wenye kipato kikubwa au kutimiza haki za binadam kumpenda yeyote duniani?Au sheria hii ni kuzuia watanzania kuoa nje ya nchi yao?

Kwa kweli ukiwa kama mimi niliyepatwa na janga hili nimejiona kama si raia wa tanzania ukizingatia na watoto wawili wanasoma,na mama yao anapika tu nakibali kinaisha ninafikiria arudi kwao sina usd 550 nayeye hawezi kuchangia chochote kufata katiba hii.hazalishi wala achangii chochote katika familia yangu.naomba katiba mpya iruhusu kmpatia ukazi bila masharti zaidi kukaa kwa niaba ya mwenzi wake kama nchi nyingi duniani wafanyavyo.

Mtanzania katembea kapat mke we unamnyima haki ya kuishi nae nchini kwa mujibu wa sheria ni uvunjifu wa haki za binadamu.

Swali ni
 
NDUGU WATANZANIA KUNA SWALA MUHIMU LAKINI KWAKUWA SI LA WATANZANIA WOTE KWA MOJAKWAMOJA BALI LINAMGUSA KWANMNA NYINGINE.(ndugu au rafikiyo).
KATIBA YETU HAIMPATII MTANZANIA KUOA NJE AU KUOLEWA NJE NA KUJA KUISHI NYUMBANI NA MWENZI WAKO MPAKA ULIPE TOZO ZA SERIKALI.INAMANISHA ILI MKEO AU MUMEO AWEZE KUISHI HAPA TANZANIA UNATAKIWA KUMLIPIA PESA ZA KIGENI DOLLAR 550 KUPATA KIBALI CHA KUISHI KWA MIAKA MIWILI TU NA BILA KUFANYA KAZI WALA KUZALISHA CHOCHOTE.MAANA SHERIA HAMRUHUSU KUFANYA SHUGULI YA KIPATO CHOCHOTE.NA KUOMBA URAIYA NI USD 5000 SAWA NA SHILLING MILIONI NANE.JE ILI KUOA NJE AU KUOLEWA NI HAKI YA MATAJIRI NA WENYE KIPATO KIKUBWA AU KUTIMIZA HAKI ZA BINADAM KUMPENDA YEYOTE DUNIANI?AU SHERIA HII NI KUZUIA WATANZANIA KUOA NJE YA NCHI YAO?
KWA KWELI UKIWA KAMA MIMI NILIYEPATWA NA JANGA HILI NIMEJIONA KAMA SI RAIA WA TANZANIA UKIZINGATIA NA WATOTO WAWILI WANASOMA,NA MAMA YAO ANAPIKA TU NAKIBALI KINAISHA NINAFIKIRIA ARUDI KWAO SINA USD 550 NAYEYE HAWEZI KUCHANGIA CHOCHOTE KUFATA KATIBA HII.HAZALISHI WALA ACHANGII CHOCHOTE KATIKA FAMILIA YANGU.NAOMBA KATIBA MPYA IRUHUSU KMPATIA UKAZI BILA MASHARTI ZAIDI KUKAA KWA NIABA YA MWENZI WAKE KAMA NCHI NYINGI DUNIANI WAFANYAVYO.
MTANZANIA KATEMBEA KAPAT MKE WE UNAMNYIMA HAKI YA KUISHI NAE NCHINI KWA MUJIBU WA SHERIA NI UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU.
SWALI NI

... Kila mwamba ngoma, ngozi uvutia kwake...
 
Kwenu Watu Makini wa Jamii Forums:

Maudhui yafuatayo yanaaminika kuwa ya kweli kabisa:

1. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (inayotambulika hivi sasa) ilitungwa na kikundi cha watu wachache, ambao – kwa mantiki na mtazamo wao – waliandika rasimu ya waraka huu takatifu bila hata kushirikisha kikundi kidogo kabisa cha Watanganyika. Waraka huu ulifanana kwa karibu sana na nyaraka nyingi za kisheria ambaazo zilikuwa zikitumika wakati wa utawala wa kikoloni (British Protectorate) wa Waingereza. Muundo, mfumo, na hata istilahi inayotumika kwenye Katiba na sheria mbali mbali, vyote hivi vinafanana kwa karibu sana na mfumo wa Kiingereza. Unaweza hata kuingia kwenye wavuti wa Google.com na kutafuta nyaraka za kisheria za Uingereza, na kubaini kwamba zinafanana SANA na hizi za Kitanzania.

2. Baada ya Muungano na Zanzibar, Katiba ikarekebishwa kuuwezesha Muungano kutambulika kisheria. Mpaka leo bado tunashangaa na kujiuliza iwapo vifungu vya Mkataba wa Muungano viliingizwa vyote kwenye Katiba hiyo mpya "iliyochakachuliwa". Inatia shaka, pia, kama Mkataba wa Muungano ni waraka ambao uko hai na umehifadhiwa mahala fulani – Pa siri? – mbali na macho ya umma! Ni ukweli usiopingika kwamba Raia wa Tanganyika hawakushauriwa katika kutunga Katiba ya Muungano! Anayebisha kuhusu hili aje na ushahidi usiopingika: Nani alikuwapo, mashauriano hayo yalifanyika wapi na lini? Nini kilikubalika? Hapo ndipo kitakapoeleweka.

3. Katiba zote mbili – ile ya Tanganyika na ile ya Muungano – ziliweka msingi wa mfumo na muundo wa jinsi ambavyo sisi, Watanganyika na baadaye Watanzania, tungetawaliwa. (Jaribuni kutofautisha kati ya "kutawala" na "kuongoza".) Katiba hizo pia ziliweka msingi wa Serikali yetu iliyoundwa kwa kushabihiana na Serikali ya Uingereza, mfumo wake wa kisiasa pia "ukikopa" kwa kiwango kikubwa maudhui ya siasa za Kimaksisti na Kimao, ambapo mfumo wa chama kimoja uliwekwa na Mwenyekiti wa Chama ndiye aliyekuwa mtawala wa juu na mtawala pekee. (Hakuwa "kiongozi"!)

4. Kwa kuwa vyanzo vya Katiba yetu na mfumo wa Serikali ni vya kikoloni, ambavyo vimewaweka madarakani Wakoloni Waafrika, na kwa kuwa sisi – wananchi – kamwe hatukushauriwa katika uundwaji wake, kwa nini …..

1. Tumeamua kujiweka rehani kwenye nguvu zile zile za serikali ya kikoloni, tukifikiria na kuamini kwamba tukishiriki – wakati huu – katika uundwaji wa Katiba Mpya, tutakuwa huru?

2. Ni jambo gani linalotuzuia kuutupilia mbali mfumo huu wa serikali batili na haramu na kuanzisha mfumo wa serikali tunayoitaka wa kipekee, pamoja na katiba (ambayo haitokani na Serikali)?

3. Tumekubali kudanganywa na kughilibiwa ili tuamini kwamba – hivi sasa – kwa kuweka saini zetu kwenye rasimu hii ya Katiba Mpya na hatimaye kuipigia kura ili ipite, ndiyo nauli yetu ya kwenda kwenye nchi iliyo huru, wakati ukweli ni mwingine?

Tafakari. Chukua hatua!
 
Kuna baadhi ya watanganyika tayari utanganyika(utaifa)wameanza kujielewa,kuna baadhi vicha ngumu hawataki kutoka kwenye ukoloni mweusi,hawa ndio wanaowafanya watanganyika hadi leo kuwa ombaomba.
 
'mi nkajua utaweka hapa tu-download aisee...'
 
Kidogo kidogo tutafika, hata kama ni miaka 20 ijayo. Lakini naona watu wameanza kuamka.

Wewe nduki nilikwishakuambia, nimeku-ignore. Waja kupost huku unanitafuta? Hunipati NG'OOOO! Huna lolote! Usinpandishe presha bure bilashi. Usinfanye nichume dhambi bureee! Sikuchukii, lakini sikuheshimu kwa unafiki wako! Nilishakuambia, watakusoma wengine, sio mimi!
 
Last edited by a moderator:

'a reason...'
 
Last edited by a moderator:
Hivi imelezea nafasi ya "First Lady" katika uongozi wa nchi...? maana tumeshuudia mafirst lady wakipewa hadhi ya karibu naibu Makamu wa Rais bila maelezo yoyote....huku wakianzisha 'ngps' taasisi ambazo wala mapato na matumizi hayabainishwi kwa watanzania....
 
Hivi katiba ilioandikwa kwa lugha ya English hipo humu
 
Mkuu MzeeWaBusara bila uzalendo na kila mmoja wetu bila kujali chama anachotoka, tusipokuwa na uzalendo wa kweli wa kupenda nchi yetu kwanza bila kujali maslahi binafsi nadhani itakuwa ngumu sana.

Tunahitaji serikali itakayotengeza umoja wa kitaifa ambapo kila mmoja wetu atatakiwa aweke utaifa kwanza mambo mengine baadae yafuate, haya tunayaona kwenye nchi za wenzetu zilizoendelea na cha kushangaza viongozi wetu kila kukicha wanasafiri sasa mimi sijui hawajifunzi hata vitu vidogo kama hivi?? but soon Tanzania will going to change we can't persist in this situation forever!!!
 
NDUGU WATANZANIA KUNA SWALA MUHIMU LAKINI KWAKUWA SI LA WATANZANIA WOTE KWA MOJAKWAMOJA BALI LINAMGUSA KWANMNA NYINGINE.(ndugu au rafikiyo).
KATIBA YETU HAIMPATII MTANZANIA KUOA NJE AU KUOLEWA NJE NA KUJA KUISHI NYUMBANI NA MWENZI WAKO MPAKA ULIPE TOZO ZA SERIKALI.INAMANISHA ILI MKEO AU MUMEO AWEZE KUISHI HAPA TANZANIA UNATAKIWA KUMLIPIA PESA ZA KIGENI DOLLAR 550 KUPATA KIBALI CHA KUISHI KWA MIAKA MIWILI TU NA BILA KUFANYA KAZI WALA KUZALISHA CHOCHOTE.MAANA SHERIA HAMRUHUSU KUFANYA SHUGULI YA KIPATO CHOCHOTE.NA KUOMBA URAIYA NI USD 5000 SAWA NA SHILLING MILIONI NANE.JE ILI KUOA NJE AU KUOLEWA NI HAKI YA MATAJIRI NA WENYE KIPATO KIKUBWA AU KUTIMIZA HAKI ZA BINADAM KUMPENDA YEYOTE DUNIANI?AU SHERIA HII NI KUZUIA WATANZANIA KUOA NJE YA NCHI YAO?
KWA KWELI UKIWA KAMA MIMI NILIYEPATWA NA JANGA HILI NIMEJIONA KAMA SI RAIA WA TANZANIA UKIZINGATIA NA WATOTO WAWILI WANASOMA,NA MAMA YAO ANAPIKA TU NAKIBALI KINAISHA NINAFIKIRIA ARUDI KWAO SINA USD 550 NAYEYE HAWEZI KUCHANGIA CHOCHOTE KUFATA KATIBA HII.HAZALISHI WALA ACHANGII CHOCHOTE KATIKA FAMILIA YANGU.NAOMBA KATIBA MPYA IRUHUSU KMPATIA UKAZI BILA MASHARTI ZAIDI KUKAA KWA NIABA YA MWENZI WAKE KAMA NCHI NYINGI DUNIANI WAFANYAVYO.
MTANZANIA KATEMBEA KAPAT MKE WE UNAMNYIMA HAKI YA KUISHI NAE NCHINI KWA MUJIBU WA SHERIA NI UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU.
SWALI NI
tena hapa katiba ningependa izuie kabisa watu kuolewa nje au kuoa nje ya nchi nakuja kuchuma au kuiba rasilimali zetu huku kwani watu watatumia mwanya huo kuja kuiba rasilimali zetu hasa kuu ardhi.
 
NDUGU WATANZANIA KUNA SWALA MUHIMU LAKINI KWAKUWA SI LA WATANZANIA WOTE KWA MOJAKWAMOJA BALI LINAMGUSA KWANMNA NYINGINE.(ndugu au rafikiyo).
KATIBA YETU HAIMPATII MTANZANIA KUOA NJE AU KUOLEWA NJE NA KUJA KUISHI NYUMBANI NA MWENZI WAKO MPAKA ULIPE TOZO ZA SERIKALI.INAMANISHA ILI MKEO AU MUMEO AWEZE KUISHI HAPA TANZANIA UNATAKIWA KUMLIPIA PESA ZA KIGENI DOLLAR 550 KUPATA KIBALI CHA KUISHI KWA MIAKA MIWILI TU NA BILA KUFANYA KAZI WALA KUZALISHA CHOCHOTE.MAANA SHERIA HAMRUHUSU KUFANYA SHUGULI YA KIPATO CHOCHOTE.NA KUOMBA URAIYA NI USD 5000 SAWA NA SHILLING MILIONI NANE.JE ILI KUOA NJE AU KUOLEWA NI HAKI YA MATAJIRI NA WENYE KIPATO KIKUBWA AU KUTIMIZA HAKI ZA BINADAM KUMPENDA YEYOTE DUNIANI?AU SHERIA HII NI KUZUIA WATANZANIA KUOA NJE YA NCHI YAO?
KWA KWELI UKIWA KAMA MIMI NILIYEPATWA NA JANGA HILI NIMEJIONA KAMA SI RAIA WA TANZANIA UKIZINGATIA NA WATOTO WAWILI WANASOMA,NA MAMA YAO ANAPIKA TU NAKIBALI KINAISHA NINAFIKIRIA ARUDI KWAO SINA USD 550 NAYEYE HAWEZI KUCHANGIA CHOCHOTE KUFATA KATIBA HII.HAZALISHI WALA ACHANGII CHOCHOTE KATIKA FAMILIA YANGU.NAOMBA KATIBA MPYA IRUHUSU KMPATIA UKAZI BILA MASHARTI ZAIDI KUKAA KWA NIABA YA MWENZI WAKE KAMA NCHI NYINGI DUNIANI WAFANYAVYO.
MTANZANIA KATEMBEA KAPAT MKE WE UNAMNYIMA HAKI YA KUISHI NAE NCHINI KWA MUJIBU WA SHERIA NI UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU.
SWALI NI
hivi mbona mmepoteza uzalendo kiasi hiki wanawake Tanzania wamejaa wapo wasomi na wasio wasomi,mambo mengine ni yakujitakia tu WATANZANIA imefikia hatua hamdhamini vya nyumbani na tabia hii inatufanya tuombe bunge la katiba lizibiti kabisa mgeni yoyote anae oa au kuolewa Tanzania asiruhusiwe kabisa kupewa uraia kwa mgongo huo na asiruhusiwe kabisa kumiliki ardhi kubwa nchini bali ya makazi yake tu,uzuiwe kusoma au kufanya kazi za kuajiliwa nchini,asiruhusiwe kuvuna rasilimali za nchi kama mtanzania labda aje kama mwekezaji tena aingie ubia na raia na asiwe mwenzi wake huyo hili litakomesha wale wote wanaokuja kuoa iliwapate uraia kwa urahisi na watu kama nyie msiokuwa wazalendo jifunze kwa wahindi ndugu.
 
Oya mambo mbona yanaonyesha waz kabsa kuwa spika kafel kuliongoza bunge...kama kutokua na self maamuz.
 
Back
Top Bottom