Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,352
Bila ya salamu!!
Toka karne hii ya 21 ianze hakujawahi kutokea katika ligi kuu ya soka ya Tanzania kupata mshambuliaji mwenye movements bora ndani ya eneo la kumi na nane kama alivyo mshambuliaji wa miamba ya soka ya Tanzania, Simba Sc,Mheshimiwa Dejan Georgijevic. Sehemu pekee ambapo nimeshuhudia striker mwenye movements hizi ni pale jijini Turin,naizungumzia miamba ya soka ya Italy,Juventus wakiwa na mshambuliaji mahiri raia wa serbia,Dusan Vlahovic.
Ni suala la muda tu kocha Zoran Maki kumpa dakika 90 mshambuliaji huyo ili adhihirishe ubora wake.
Nikiripoti kutoka jijini Bergamo nchini italy, ni mimi mchambuzi wenu Tipst.
Hongereni azam kwa kutuwezesha Diasporas kucheki ligi kuu ya Tanzania kupitia Azam max.