Movements za striker wa Simba zinafanana kabisa na Mshambuliaji wa Juventus, Dusan Vlahovic!! Ni suala la muda tu awadhihirishie ubora wake

Mzungu apewe muda wa kutosha kufanya vitu uwanjani...sio anapewa dk 20 wakati timu ishaondoa viungo wote na kujaza mabeki striker anabaki anazurula tu mbele mipira haifiki wala hawa wa kupiga nae stori
 
Bila ya salamu!!

Toka karne hii ya 21 ianze hakujawahi kutokea katika ligi kuu ya soka ya Tanzania kupata mshambuliaji mwenye movements bora ndani ya eneo la kumi na nane kama alivyo mshambuliaji wa miamba ya soka ya Tanzania, Simba Sc,Mheshimiwa Dejan Georgijevic. Sehemu pekee ambapo nimeshuhudia striker mwenye movements hizi ni pale jijini Turin,naizungumzia miamba ya soka ya Italy,Juventus wakiwa na mshambuliaji mahiri raia wa serbia,Dusan Vlahovic.

Ni suala la muda tu kocha Zoran Maki kumpa dakika 90 mshambuliaji huyo ili adhihirishe ubora wake.

Nikiripoti kutoka jijini Bergamo nchini italy, ni mimi mchambuzi wenu Tipst.

Hongereni azam kwa kutuwezesha Diasporas kucheki ligi kuu ya Tanzania kupitia Azam max.
Kwahiyo Simba itafaidika na mikimbio yake. Na Simba walihitaji mikimbio na si mfungaji.
 
Bila ya salamu!!

Toka karne hii ya 21 ianze hakujawahi kutokea katika ligi kuu ya soka ya Tanzania kupata mshambuliaji mwenye movements bora ndani ya eneo la kumi na nane kama alivyo mshambuliaji wa miamba ya soka ya Tanzania, Simba Sc,Mheshimiwa Dejan Georgijevic. Sehemu pekee ambapo nimeshuhudia striker mwenye movements hizi ni pale jijini Turin,naizungumzia miamba ya soka ya Italy,Juventus wakiwa na mshambuliaji mahiri raia wa serbia,Dusan Vlahovic.

Ni suala la muda tu kocha Zoran Maki kumpa dakika 90 mshambuliaji huyo ili adhihirishe ubora wake.

Nikiripoti kutoka jijini Bergamo nchini italy, ni mimi mchambuzi wenu Tipst.

Hongereni azam kwa kutuwezesha Diasporas kucheki ligi kuu ya Tanzania kupitia Azam max.
Labda Dusian wa Turiani
 
Huku wadau bado hawajamalizana naye

Nadhani wadau mmeanza kunielewa...hawa strikers wa kiserbia ni hatari sana..halafu ogopa sana wachezaji kutoka eastern europe!! Huwa wana njaa sana ya mafanikio na huwa hawaridhiki mapema na mafanikio!! Katika mechi 4 hizi ...dejan georgindowski amecheza jumla ya dakika zisizozidi 70...sasa subirini pindi atakapoanza kucheza dakika 90
 
Dejan ni fundi sana anaonekana tu,ila tatizo hapewi pasi za kueleweka na wenzake
Hata lile goli jana kabla hajafunga Dejan alimuomba mpira israeli lakin hakumpa akapiga cross hata ivyo ile cross yenyewe ilikuwa mbaya kipa na beki wake mzembe ndy wakafanya mistake kumtemea Dejan ule mpira,Dejan naye bila hiana akawanyoosha
Dejan ni fundi jamaa anaujua ..
 
Sema dusan wajuve mtamu bwana lile goli alolifunga kweny Seria a akipokea pasi kutoka Kwa dimaria ni tamu bwana
 
Bila ya salamu!!

Toka karne hii ya 21 ianze hakujawahi kutokea katika ligi kuu ya soka ya Tanzania kupata mshambuliaji mwenye movements bora ndani ya eneo la kumi na nane kama alivyo mshambuliaji wa miamba ya soka ya Tanzania, Simba Sc,Mheshimiwa Dejan Georgijevic. Sehemu pekee ambapo nimeshuhudia striker mwenye movements hizi ni pale jijini Turin,naizungumzia miamba ya soka ya Italy,Juventus wakiwa na mshambuliaji mahiri raia wa serbia,Dusan Vlahovic.

Ni suala la muda tu kocha Zoran Maki kumpa dakika 90 mshambuliaji huyo ili adhihirishe ubora wake.

Nikiripoti kutoka jijini Bergamo nchini italy, ni mimi mchambuzi wenu Tipst.

Hongereni azam kwa kutuwezesha Diasporas kucheki ligi kuu ya Tanzania kupitia Azam max.
MBUMBUMBU wamembumbuka
 
Back
Top Bottom