Movie au Series gani unaweza kuiangalia mara nyingi na haikuchoshi?

Movie au Series gani unaweza kuiangalia mara nyingi na haikuchoshi?

KANUMBA THE GREAT FAMILY ALL MOVIES SABABU KUNA MAUDHUI YANAYO ISHI MPAKA LEO NA VYEMA WAJIFUNZE VIJANA.
 
Mimi sichoki "Savasci". Japo sijapata yenye subtitles za Kiingeleza.

Ila,hata Capt Chandler alifanya jambo.

Na Bongo, Kisungu noma🤣🤣🤣🤣🤣
 
First blood ya Rambo,Ile ya kwanza,staring Silyvester Stallone.
 
Hacksaw Ridge(2016) ya mwanangu msabato.Kila kitu naipa 100.

"Please Lord ,help me get one more"-Desmond Doss.
Yule mu SDA bana alipoteza bible yake wanamuokoa anasema "my bible" kwamba anaihitaji.

Pia nilipenda sana Captain anaulizwa toka command post kuwa tayari mmeshaenda kuanza mapambano anasema tunamsubiri Desmond muda huo mu SDA anapiga maombi.
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
Back
Top Bottom