Movie au Series gani unaweza kuiangalia mara nyingi na haikuchoshi?

Movie au Series gani unaweza kuiangalia mara nyingi na haikuchoshi?

Friends one of my best series...
download (1).jpeg


Cc: Mahondaw
 
Tatizo movie nyingi za kisasa zimejaa sana computer hata mtu unakosa ladha.

Yaani huwezi kupata movies zenye quality na zinazoonyesha matumizi makubwa ya akili kama kwenye,kuzitaja kwa uchache Predator,The Godfather,Rambo,Rocky,Missing in action,Hard Target,Platoon etc ni nyingi humalizi kuzitaja.
 
Back
Top Bottom