Movie au Series gani unaweza kuiangalia mara nyingi na haikuchoshi?

Movie au Series gani unaweza kuiangalia mara nyingi na haikuchoshi?

Hiyo breaking bad nayo nimeirudia rudia ila sio kama silicon valley na Startup... hivi viseries nimevirudi mara nyingi sana na nyingine huwa sipendagi kuisema sana kwa maana wananiambiaga ya kitoto empire 😆😆😆😆 napendaga tu vipande vya cook lion.

Ila currently niko sana na Gangs of new York pamoja na Billions

Movie kuna after everything nimeiangalia mara nyingi pia kuna the nightcrawler hii movie huwa naipenda sana kwa sababu inahamasisha kwenye upambanaji na namna unavyotakiwa kuwa na maamuzi magumu hasa pale unapokilinda kile ulicho kitengeneza.
Startup hawajaimalizia sijui kwanini. Ila mkuu unampenda sana hustle za kutafuta noti, nature ya movie zako zinaakisi ninachokiona kwako
 
Kuna series ya vita baina ya Korea nawa Japan, aisee ni ndefu sana kwamm niliirudia km mara 4 kwa miaka tofaut, japo mm sio mpenzi wa series, lkn hii ni balaa... inaitwa ARROWS ON THE BOWSTRING
 

Attachments

  • XddyZc.jpg
    XddyZc.jpg
    36.2 KB · Views: 6
nimesahau na ile makala ya TB Joshua ya BBC napenda kuirudia mara kwa mara

nzuri sana majamaa wanajua

ukisikia investigative journalism na documentary storytelling ndo pale sasa
 
Hiyo, "Harry Potter
naipata wapi
 
Hacksaw Ridge(2016) ya mwanangu msabato.Kila kitu naipa 100.

"Please Lord ,help me get one more"-Desmond Doss.
Huy alikuwa mroman kama sikosei japo demu wake ndo alikazia iman yake kwa kumzawadia bible
 
Incarnation of money

Healer main theme

King of baking

Fashion king
 
First of all....
I don't have that time..😶
 
Back
Top Bottom