Adonicha s
New Member
- Apr 17, 2024
- 2
- 2
Wewe kweli ni introvert
Lone survivor💓
Mwamba wa affganstancovenant ..guy richie
Chuma cha wamarekani ni 🔥Lone survivor💓
Vyuma ulivyoweka ni uhakika sana
Navikubali sana hivyo vyumaVyuma ulivyoweka ni uhakika sana
Mkuu hii mbona inataka moyo sana kuiangalia? Though graphic na sound yake sio mchezoDune
Yule mu SDA bana alipoteza bible yake wanamuokoa anasema "my bible" kwamba anaihitaji.Hacksaw Ridge(2016) ya mwanangu msabato.Kila kitu naipa 100.
"Please Lord ,help me get one more"-Desmond Doss.