Movie Reviews

Hivi flashpoint Paradox ndiye ile Flash alikimbia akaenda kwenye Alternative Verse ambayo Batman ni mzee na Clark Kent alikuwa amefungiwa na US Army na Red Hood yumo ?? Halafu kuna nyingine Super Man ndiye Villain anaongoza The Crime Syndicate.....
Yeah hiyo flash aliyokimbia akajikuta ulimwengu mwingine ndio Justice League: The Flashpoint Paradox halafu ile ambayo heroes ndio maadui inaitwa Justice League: Crisis on Two Earths.
 
Yeah hiyo flash aliyokimbia akajikuta ulimwengu mwingine ndio Justice League: The Flashpoint Paradox halafu ile ambayo heroes ndio maadui inaitwa Justice League: Crisis on Two Earths.
Anhaaa yes yes......Kuna jamaa yangu moja hivi alikuwa anapenda sana DC COMICS alikuwa anazo nyingi kweli
 
Tatizo copy zilikuwa zinajua zimetoa copy kumbe nazo copy!!...Kwahyo kukutana na Original ikashindwa kukubali yenyewe nayo ni copy!!..
hahaa copy ya preacher ikanza kukemea pepo abomination abomination..., ivi ndio wamemaliza au wanarudi tena.Transformers vipi unaionaje.
 
hahaa copy ya preacher ikanza kukemea pepo abomination abomination..., ivi ndio wamemaliza au wanarudi tena.Transformers vipi unaionaje.
Transformer zimetulia sana!..hua naipenda Revenge of the moon zaidi!..
 
season 5 ilikuwa ile Michael anakufa, season six ndio hii mpya mkuu!..
Alibaba aliziharibu sana kuzitoa nusu nusu
Yaah nilikua namaanisha iyo ya 6, wanakatisha stimu
 
Lilinifurahisha sana ile movie. lilikuwa kama libadass fulani la haja. Kidogo nidhani ile misheni itashindwa.
 
Joker mtata sana. Unaikubali joker ya Jack nickolson au ya ledger? why so serious??
 
Lilinifurahisha sana ile movie. lilikuwa kama libadass fulani la haja. Kidogo nidhani ile misheni itashindwa.
Hahahaha mlango ulivyojifunga pale vijamaa vilipiga kelele...!
Mle kuna sehemu mbili tu alinivutia, kuna ile sehemu ya Lilimpiga Force Choke Director Krennic halafu likamwambia "Be careful not to choke on your aspirations director" πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hahahahahah hapa mzee, vijamaa vilikuwa vinataka kusepa ghafla vikasikia Enhanced Breathing na Light Saber ikawaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…