Movie Reviews

Movie Reviews

Hivi flashpoint Paradox ndiye ile Flash alikimbia akaenda kwenye Alternative Verse ambayo Batman ni mzee na Clark Kent alikuwa amefungiwa na US Army na Red Hood yumo ?? Halafu kuna nyingine Super Man ndiye Villain anaongoza The Crime Syndicate.....
Yeah hiyo flash aliyokimbia akajikuta ulimwengu mwingine ndio Justice League: The Flashpoint Paradox halafu ile ambayo heroes ndio maadui inaitwa Justice League: Crisis on Two Earths.
 
Yeah hiyo flash aliyokimbia akajikuta ulimwengu mwingine ndio Justice League: The Flashpoint Paradox halafu ile ambayo heroes ndio maadui inaitwa Justice League: Crisis on Two Earths.
Anhaaa yes yes......Kuna jamaa yangu moja hivi alikuwa anapenda sana DC COMICS alikuwa anazo nyingi kweli
 
Tatizo copy zilikuwa zinajua zimetoa copy kumbe nazo copy!!...Kwahyo kukutana na Original ikashindwa kukubali yenyewe nayo ni copy!!..
hahaa copy ya preacher ikanza kukemea pepo abomination abomination..., ivi ndio wamemaliza au wanarudi tena.Transformers vipi unaionaje.
 
hahaa copy ya preacher ikanza kukemea pepo abomination abomination..., ivi ndio wamemaliza au wanarudi tena.Transformers vipi unaionaje.
Transformer zimetulia sana!..hua naipenda Revenge of the moon zaidi!..
 
Hahahaha ila Darth Vader ni nyang'au aiseee!
Kwenye Rogue One ya mwaka juzi nakumbuka mwishoni kabisa liliongia kuwashughulikia The Resistance....
Liliwashikisha kichapo cha haja huku linatembea kama libwana Harusi fulani hivi...Wanapiga risasi linatumia Force Freeze kuzuia. Hata Chancellor Palpatine hafiki kwa Vader!
Lilinifurahisha sana ile movie. lilikuwa kama libadass fulani la haja. Kidogo nidhani ile misheni itashindwa.
 
Movie za Sci-Fi nazozikubali ni nyingi sana sanaa sampuli chache ni hizi:
1.Batman:The Dark Knight (Joker tu ndiye ananiua)
2.Terminator 2: Judgement Day
3.Total Recall (Colin Farrel)
4. Pitch Black: Chronicles of Riddick
5. Star Wars- Revenge of the Sith
6. Equillibrium
Joker mtata sana. Unaikubali joker ya Jack nickolson au ya ledger? why so serious??
 
Lilinifurahisha sana ile movie. lilikuwa kama libadass fulani la haja. Kidogo nidhani ile misheni itashindwa.
Hahahaha mlango ulivyojifunga pale vijamaa vilipiga kelele...!
Mle kuna sehemu mbili tu alinivutia, kuna ile sehemu ya Lilimpiga Force Choke Director Krennic halafu likamwambia "Be careful not to choke on your aspirations director" 😀😀😀😀

Hahahahahah hapa mzee, vijamaa vilikuwa vinataka kusepa ghafla vikasikia Enhanced Breathing na Light Saber ikawaka!
 
Back
Top Bottom