Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Yeah hiyo flash aliyokimbia akajikuta ulimwengu mwingine ndio Justice League: The Flashpoint Paradox halafu ile ambayo heroes ndio maadui inaitwa Justice League: Crisis on Two Earths.Hivi flashpoint Paradox ndiye ile Flash alikimbia akaenda kwenye Alternative Verse ambayo Batman ni mzee na Clark Kent alikuwa amefungiwa na US Army na Red Hood yumo ?? Halafu kuna nyingine Super Man ndiye Villain anaongoza The Crime Syndicate.....